×

Waziri wa Kazi Atembelea Mtibwa Sugar, Aitaka OSHA Kukamilisha Uchunguzi wa Ajali

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari...

READ MORE

Rommy: Ni Kweli Nimeachana Na Shilole, Nimekubali Matokeo Maisha yaendelee…

ALIYEKUWA mume wa msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed almaarufu Shilole aitwaye...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Namibia Afanya Ziara Makao Makuu ya JWTZ Dar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Namibia, Air Marshal Martin Kambulu Pinehas na ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini...

READ MORE

NBC Yakabidhi Kombe La Ubingwa Wa Vijana (U20) Kwa Kagera Sugar FC

Mdhamini mkuu wa Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20 Youth League) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi...

READ MORE

Tigo Zantel na ZMOTION SOLUTIONS Wazindua “Lipa Ada” Zanzibar:

Zanzibar, Mei 28, 2024 – Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi Maisha ya kidigitali,Tigo Zantel, kwa kushirikiana na ZMOTION SOLUTIONS,...

READ MORE

Kampeni msaada wa kisheria yaanza Ludewa

  MKUU wa Wilaya ya Ludeva mkoani Njombe, Victoria Mwanziva amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ‘Mama...

READ MORE

RC Makonda: Tutaendelea Kuenzi Mazuri Ya Hayati Lowassa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amewaahidi wakazi wa Monduli kwamba Serikali ya Mkoa itahakikisha inatimiza maono ya...

READ MORE

Waziri Ndejembi: Mmeona Umuhimu wa Kujisaji WCF, Atoa Pole Kwa Waliopoteza wapendwa wao

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema ni matarajio ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

RC Makonda Apiga Marufuku Wauguzi Arusha Kuzuia Maiti

MKuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amepiga marufuku tabia ya wahudumu wa afya katika vituo vyote vya kutolea...

READ MORE

CMSA Yaongeza Thamani ya Uwekezaji Katika Masoko ya Mitaji Kwa Asilimia 23.2

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema utekelezaji wa mipango na mikakati ya Serikali imekuwa na matokeo chanya...

READ MORE

Kinana Asema Kampeni ya Nishati Safi Iliyoanzishwa na Rais Dk. Samia Inalenga Kumtua Mwanamke Mzigo Kichwani

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amesema kampeni ya nishati safi iliyoanzishwa na Rais Dk....

READ MORE

NBAA Imejipanga Kuhakikisha Inaendelea Kutoa Elimu Kwa Wananchi

BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imejipanga kuhakikisha inaendelea kutoa Elimu kwa wananchi katika Maadhimisho...

READ MORE

Balozi Dk Nchimbi: Mfumo wa Elimu Utawasaidia Watanzania Kushindana Kimataifa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya...

READ MORE

Shinda Mkwanja Ukicheza Shindano la Expanse Tournament

Umetembelea Meridianbet Kasino ya Mtandaoni leo? Nakushauri tu ufanye kuingia kwani utafurahi mwenyewe na moyo wako, Promosheni ya Shindano la...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Inathamini Mchango Wa Madhehebu Ya Dini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika...

READ MORE

Mradi wa Maji Same – Mwanga Wafikia Asilimia 90, Aweso Awasha Pampu Kusukuma Maji

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo mei 27, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingine....

READ MORE

GGML inavyowezesha walemavu Geita

  Na Mwandishi Wetu KATIKA mazingira ya kupendeza ya Mkoa wa Geita, iko habari njema yenye kutia matumaini kwa waliokata...

READ MORE

Beti na Meridianbet, Uibuke Milionea

Kama kweli unataka kutimiza ndoto zako za kuwa milionea, sehemu ni moja nayo ni Meridianbet ambao hawa ndio mabingwa wa...

READ MORE