×

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu ALAT Taifa; Rais Samia Kufungua

BENKI ya NMB, imekabidhi hundi yenye thamani ya Sh. Mil. 120 kudhamini Mkutano Mkuu wa 38 wa Mwaka wa Jumuiya...

READ MORE

Tigo, TCB Wazindua Kikoba Kwa Huduma Ya Kuweka Akiba Kwa Vikundi

Dar es Salaam, 23 Aprili 2024: Tigo Tanzania, kwa kushirikiana na Benki ya Biashara Tanzania (TCB), leo wamezindua huduma ya...

READ MORE

Rais Dk. Samia Awapongeza Mabalozi  Wanaowakilisha  Tanzania

Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi  wanaowakilisha  Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya...

READ MORE

Shindano la Expanse Meridianbet Linatoa Mgao wa Pesa Kwa Washindi Kila Siku

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi la kutengenezea pesa, kupitia promosheni, bonasi za kasino, na michezo mingi ya kasino na sloti inakupa…

READ MORE

Makamu wa Rais, Dk Mpango Awataka Watanzania Kudumisha Muungano

Makamu wa Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameungana na Watanzania kushiriki Siku ya Maombi na...

READ MORE

Dk Nchimbi: Tutawaenzi Waasisi Kwa Kuendeleza Utumishi Bora Kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga,...

READ MORE

DK.Nchimbi: Tutawaenzi Waasisi Kwa Kuendeleza Utumishi Kwa Watu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga,...

READ MORE

Alichokisema Kadogosa Uzinduzi wa Safari ya Kwanza ya SGR- Dodoma

Safari ya Kwanza ya majaribio ya Treni ya SGR kutoka Dar-es-Salaam mpaka Dodoma Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60, ya...

READ MORE

Msako kwa Wanaojihusisha na Dawa za Kulevya Unaendelea.

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za...

READ MORE

GGML Yasisitiza Kuendelea Kuimarisha Afya za Wafanyakazi

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali imeahidi kuendelea kusimamia mipango ya kuimarisha na kusimamia afya...

READ MORE

Malkia Karen Amwaga Machozi Kanisani Ibada Ya Kusalia Mwili Wa Baba’ke KKKT Usharika wa Mbezi – Video

WANANCHI wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mbezi Beach Jumanne Aprili 22, 2024 kwenye ibada...

READ MORE

Vodabima Imekurahisishia, Sasa Unaweza Kupata Bima ya Afya Kupitia Simu Yako

 Vodabima imekurahisishia, Sasa unaweza kupata bima yako ya afya kupitia simu yako ya mkononi Kujiunga na huduma hii tembelea...

READ MORE

RS Berkane Yagoma Kucheza Baada Ya Algeria Kuzuia Jezi Zao Zenye Bendera Ya Morocco

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria na RS Berkane...

READ MORE

CCM Yamuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili na anatarajiwa kuitikia wito...

READ MORE

Waziri Makamba, Ataja Maeneo ya Kuboresha, Wizara ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo...

READ MORE

Kurasa za magazeti ya leo Aprili 22, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa...

READ MORE

Waziri Mkuu Aagiza Taarifa Maalum Ya Udhibiti Wa Uvuvi Haramu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo...

READ MORE

Mwili wa marehemu Gardner G Habash Wawasili Nyumbani Kwake Kijitonyama – (Video+Picha)

Mwili wa marehemu Captain Gardner G Habash leo Aprili 21, 2024 umewasili nyumbani kwake Kijitonyama ambapo utafanyiwa ibada maalum ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Safari ya Kwanza ya Treni Kutoka Dar- Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada...

READ MORE

Ofisi ya Wakili Mkuu Yaokoa Zaidi ya Shilingi Trilioni 3.4

Serikali kupitia Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi trilioni 3.4 baada ya kufanikiwa kushinda mashauri...

READ MORE