×

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 23, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Uhusiano wa Tanzania na Urusi Kuboreshwa Kunufaisha Pande Zote

Dkt. Nchi: UHUSIANO WA TANZANIA NA URUSI KUBORESHWA KUNUFAISHA PANDE ZOTE – NCHIMBI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

READ MORE

Halotel yazindua kampeni mpya kwa wateja wao inayoitwa “VUNA POINT”.

Kampuni ya simu ya Halotel leo imezindua kampeni nyingine mpya kwa wateja wake inayokwenda kwa jina la Vuna Point. Vuna...

READ MORE

Exim Yaunga Mkono Jitihada za Rais Mwinyi, Wadau Kuchochea Kasi ya Utalii Zanzibar

  Benki ya Exim Tanzania imesisitiza dhamira yake kuhudumia wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ndani na nje ya nchi ...

READ MORE

Utekelezaji wa Mradi wa Tanzania ya Kidijitali Wafikia 70%, Aeleza Katibu Mkuu Habari

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla amesema utekelezaji wa mradi wa...

READ MORE

HAPA UEFA CONFERENCE LEAGUE PALE MKWANJA KUTOKA MERIDIANBET

Wakati michuamo ya Uefa Conference League inaendelea nao mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawako nyuma wanaendelea...

READ MORE

Bashe Atoa Kauli Nzito Sakata La Sukari – ”Wafanyabiashara 28 Tumewakamata -Tumeshawabeba Sana” – Video

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema licha ya tatizo la uhaba nchini lililosababishwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kunyesha kwa mvua...

READ MORE

Piga Pesa Meridianbet Leo na Mechi za Europa

Alhamisi ya leo mechi za Europa za mkondo wa pili hatua ya 16 bora Ulaya zinaendelea huku timu zingine zikitaka...

READ MORE

Sanamu La Nyerere Lavunja Mbavu Watu Ikulu – ”Madaraka Nyerere Amesema Yule Ni Baba Yake” – Video

Serikali ya Tanzania kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Mawasiliano Ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus Azungumza Na Wahariri – (Video+Video)

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wakizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari...

READ MORE

Kili Marathon 2024 Watangaza Barabara Zitakazofungwa Jumapili

ZIKIWA zimebakia siku chache kabla ya kufanyika mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon kwa mwaka wa 2024, waandaaji...

READ MORE

Sloti ya 100 Super Icy|Shinda Jackpot Tatu Ukicheza Kasino Hii

Ikiwa wewe ni mpenzi wa kucheza kasino ya Mtandaoni basi Meridianbet Kasino ni tulizo la moyo wako. Nakushauri tu cheza...

READ MORE

Meli Yagonga Daraja na Kutumbukiza Magari kwenye mto Guangzhou, China – Video

MELI ya mizigo iligonga daraja katika mji wa kusini wa China wa Guangzhou mapema Alhamisi, na kutumbukiza magari matano likiwemo...

READ MORE

Naibu Waziri Biteko Awalipua Tanesco Makao Makuu – ”Idara Ya Manunuzi Wawabadilishe” – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JHNPP)...

READ MORE

Kamati Yataka Ushirikishwaji Wa Wananchi Maeneo Ya Miradi Ya Elimu

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewashauri watendaji wa Halmashauri kuwashirikisha wananchi...

READ MORE

RC Chalamila Akamata shehena ya bidhaa za magendo, madumu ya mafuta ya kupikia

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila Februari 21, 2024 ameueleza umma kupitia vyombo vya habari kukamatwa kwa...

READ MORE

Rais Dkt.Samia Ateta na Uhuru Kenyatta Ikulu Tunguu Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Amemteua Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu...

READ MORE

Bolt Yaruhusu Abiria Kusitisha Safari za Nje ya Mtandao kwa Kuimarisha Usalama

Kampuni inayoongoza kwa mahitaji ya usafiri barani Afrika Bolt, imeanzisha chaguo jipya la kusitisha safari  katika mtandao wake, utakaolenga kuwazuia...

READ MORE

Makamu wa Rais Mpango: Mitambo Miwili ya Kuzalisha umeme katika Bwawa la JNHPP Itawashwa

  Makamu wa Rais Dk Philip Mpango, amesema mwezi Machi mwaka huu itawashwa mitambo miwili ya kuzalisha umeme katika Bwawa...

READ MORE