×

Uchaguzi wa urais Senegal: Amadou Ba ampigia simu Bassirou Diomaye Faye na Kumpongeza

MGOMBEA wa ushirika wa utawala nchini Senegal, Amadou Ba amempongeza mpinzani wake kutoka kambi ya upinzani Bassirou Diomaye Faye kwa...

READ MORE

LAAC yachukizwa kutofwatwa kwa miongozo katika kutekeleza miradi ya elimu, afya

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mitaa(LAAC) imeonesha kukerwa na hatua ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama...

READ MORE

UNSC Yapitisha Azimio la Kusitisha Mapigano Mara Moja Gaza

Mjini New York, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepiga kura, Jumatatu, Machi 25, kwa kura 14 kuunga mkono...

READ MORE

Balozi Dkt.Nchimbi Ateta na Shein na Salmin ‘Komando’

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema ushauri na maelekezo ya Viongozi Wastaafu wa...

READ MORE

Super Heli Kasino Mpya Mjini, Cheza na Kushinda Zawadi Kibao

Fikiria ni biashara gani inaweza kukupa faida kubwa kushinda mtaji uliotumia? Ni mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaitwa Super...

READ MORE

Chuo Kikuu Marekani Champa Udaktari Wa Heshima Dkt. Rose Rwakatare

MWENYEKITI wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (CCM), Dkt. Rose Rwakatare ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (PhD) na Chuo Kikuu...

READ MORE

Tanzania Yapandishwa Uwezo Wake wa Kukopa Kimataifa

* Taasisi ya Moody’s yasema kuwa Tanzania ndiyo nchi inayokopesheka kuliko nchi zote za Afrika Mashariki * Mageuzi ya uchumi...

READ MORE

Wizara, Drum Beats Zasaini Makubaliano Kuendesha Tamasha La Utamaduni

DODOMA Jumatatu Machi 25 2024: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya...

READ MORE

Mashindano ya Quran Afrika: Rais Mwinyi Ahimiza Kuhifadhi Quran Na Kufundisha, Mshindi ni Ibrahim Sow wa Ivory Coast (Picha +Video)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi...

READ MORE

Washukiwa wanne wa shambulio la mjini Moscow washtakiwa kwa makosa ya ugaidi

Watu wanne wanaoshtumiwa kuhusika katika shambulio kwenye jumba la tamasha mjini Moscow ambalo liliua watu 137 Jumapili wameshtakiwa kwa makosa...

READ MORE

Mgombea wa upinzani aongoza katika uchaguzi wa rais nchini Senegal

Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani...

READ MORE

Matinyi: Waziri Ndumbaro Alikuwa Anatania Suala La Ukaguzi Wa ‘Passport’

Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema “Lugha za michezo utani ni kitu cha kawaida, mnapozungumza 80% ni utani na...

READ MORE

LAAC yaagiza ukamilishaji ujenzi wa shule mpya Kigera Mwiyale, Musoma

KAMATI ya kudumu ya Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) imeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kuhakikisha inakamilisha kwa wakati...

READ MORE

Kapteni Tyson – ”Baharini Ni Bustani Ya Majini, Ili Upate Lazima Uwape Kitu” – Video

Kapteni Tayson anayejishughulisha na uvuvi amefanya mahojiano na Global Tv kupitia kipindi cha kona ya mtaa na kueleza kuwa baharini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 25, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Benki ya Equity Yafuturisha Wateja Wake Zanzibar

Benki ya Equity katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani imefuturisha wateja wake katika mji mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni ishara...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Asisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni Maisha ya Watu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Jijini Dar Es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Machi 24, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Samsung Yazindua Huduma ya Mwonekano wa Vifaa kwa 3D kwa Kutumia SmartThings na AI

Kampuni ya Samsung Electronics Co., Ltd imezindua huduma ya itakayomwezesha mteja kupata mwonekano wa ramani kwa 3D, huduma hii imezinduliwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Lusaka, Zambia

Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ni jukumu lao kufanya kazi kwa pamoja ili...

READ MORE