×

Matukio Ya Kizalendo Yazidi Kufanywa Hanang, ALAF Yatoa Mabati 2000 Kusaidia Waathirika

Kampuni ya ALAF Limited inayjihusisha na utengenezaji wa mabati ya aina mbalimbali imetoa msaada ya mabati 2000 yenye thamani ya...

READ MORE

Kihenzile Amwakilisha Waziri Mbarawa Kushuhudia Utiaji Saini Ujenzi wa Boti ya Kubebea Wagonjwa

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile leo amemwakilisha Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa jijini Mwanza katika hafla ya utiaji...

READ MORE

Kiongozi wa Al Shabaab Auawa Somalia Kwa Ushirikiano wa Jeshi la Marekani

Serikali ya Somalia imetangaza kwamba imemuua Maalim Ayman, kiongozi mwandamizi wa Kundi la Kigaidi la Al Shabaab katika oparesheni ya...

READ MORE

MERIDIANBET YAIBUKA NA PROMOSHENI BABKUBWA MSIMU HUU WA SIKUKUU

Meridianbet msimu huu wa sikukuu hawataki wateja wao wakae kinyonge wamekuja na Promosheni babkubwa ambayo itawaondolewa unyonge wateja wake katika...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lawataka Madereva Kutokuwa Chanzo cha Huzuni na Majonzi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini kimesema zipo sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi...

READ MORE

Bosi Yanga Afunguka Usajili Wa Msuva, Afichua siri ya vyuma vingine

WANANCHI kuna bomu wanataka kulitengeneza kupitia dirisha hili dogo la usajili nalo ni kushusha mashine za kazi kwa ajili ya...

READ MORE

Kusanya Magifti na MERIDIANBET Kasino Msimu Huu wa Sikukuu

Ilikuwa ni asubuhi moja ya Jumatano kijana mmoja kutoka familia duni aliamka mapema sana kisha akaanza kujiandaa kwenda shule, kwakuwa...

READ MORE

Ajira Zaidi ya 5,000 Kutengenezwa Kutoka Kiwanda cha Sukari Mkulazi, Morogoro

Kukamilika kwa kiwanda cha kuzalisha Sukari Mkulazi kilichopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro, kumetajwa kuwa kutawezesha kutoa ajira za moja kwa...

READ MORE

TFF Yaufungia uwanja wa Uhuru kutumika kwenye michezo ya ligi kuu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa Uhuru kutumika kwenye michezo ya ligi kuu baada kukosa vigezo...

READ MORE

Wanahabari Wanolewa Kuhusu Usiri Wa Taarifa Mtandaoni

Dar es Salaam 20, Desemba 2023: Shirika la Huduma za Mtandao kwa Jamii, Internet Society limewanoa wanahabari na kuwapa wanahabari...

READ MORE

Warepublikan walalamikia uamuzi wa Colorado kuondoa jina la Trump

Warepublikan kote Marekani, wamelalamika uamuzi wa mahakama kuu ya Colorado, wa kuondoa jina la rais wa zamani wa Marekani, Donald...

READ MORE

Simba Yaanza Kurejesha Makali Yake, Matumaini Kibao Ligi Ya Mabingwa Afrika

Klabu ya Simba inaonekana imeanza kurejesha makali yake taratibu haswa kwenye ligi ya mabingwa Afrika ambapo walionekana kuanza vibaya zaidi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Decemba 22, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 22, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Simba Yawasimamisha Clatous Chama na Nassoro Kapama

Klabu ya Simba Desemba 21, 2023 imewasimamisha wachezaji wake Clatous Chama na Nassoro Kapama kwa vitendo vya utovu wa nidhamu....

READ MORE

Wafanyakazi wa NBC Waliopanda Mlima Kilimanjaro Warejea, Wafanikisha Utoaji Huduma ya Miamala kupitia Mashine ya POS Kileleni

   Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) hii leo imewapokea wafanyakazi wake na wadau mbalimbali wa utalii wakiwemo waandishi wa...

READ MORE

Magifti Dabodabo Kunogesha Sikukuu Za Krismas Na Mwaka Mpya, Washindi Wafunguka

Disemba 22, 2023:Ramla Athuman Kopwe Mkazi wa Kigogo Fresh Chanika, Rosa Leonard Mchome Mkazi wa Changanyikeni Dar Es Salaam, na...

READ MORE

CCM Yaipongeza Wizara Ya Kilimo Kwa Uzalishaji Wa Tumbaku Kupanda Kutoka Tani 60,000 Hadi 122,000 Na Kuzalisha Dola Milioni 283

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amesema Chama Cha...

READ MORE

ALAF Limited Yadhamini Wanafunzi Wa Kiswahili UDSM

Kampuni ya ALAF LIMITED leo imetangaza rasmi udhamini wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanaosoma MA Kiswahili...

READ MORE

Mbunge Janeth Masaburi Awaahidi Masoko Ya Kisasa Wana Temeke, Awapa Bure Mama Lishe Majiko Ya Gesi

Dar es Salaam 21 Desemba 2023: Serikali  ya Halmashauri ya Manispaaya Temeke imesema inampango wa kuboresha masoko yake makuu ikiwemo...

READ MORE