×

Mkwanja Wa Kutosha Wikiendi Hii Na Meridianbet

Mikwanja inaendelea kumwagika kutoka Meridianbet kwani wikiendi hii itakua ni fursa ya kupiga mkwanja na Meridianbet kwani inakwenda kupigwa michezo...

READ MORE

GGML waungana na Biteko kuanika mbinu za mapambano dhidi ya Ukimwi

NA MWANDISHI WETU Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi...

READ MORE

Mbunge Mahawanga Awaonya Wanawake Na Mikopo Ya ‘Kausha Damu’, Awapongeza Wanavicoba

Dar es Salaam Mbunge wa Wanawake mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Elius Mahawanga amewaonya wanawake na watu wengine wanaoona...

READ MORE

Wahitimu 15 Shahada ya Udaktari HKMU Wapewa Neno

CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali itoe ruzuku kwa vyuo vikuu vinafsi ili kuvijengea uwezo kuboresha...

READ MORE

Azam Media Yavunja Ukimya Tuhuma Ya Rushwa Iliyotolewa Na Mwigizaji Shija, Yatoa Tamko Hili Zito – Video

Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigizaji na mtengeneza filamu,...

READ MORE

Tanesco Yatangaza kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa

Shirika la Umeme (Tanesco) limetangaza taarifa ya kuunganisha Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere kwenye gridi ya taifa, hatua itakayosababisha...

READ MORE

#Exclusive: Haya Ndiyo Maisha Halisi Ya Loveness – Anavaa Khanga Na Kupika Dikodiko – “Mimi Ni Pisi”

Loveness Tarimo ni mwanamke mtunisha misuli anayeshikilia nafasi ya Miss Fitness Tanzania na Miss Fitness East Afrika. Global TV imefanya...

READ MORE

UAE yatangaza ufadhili wa dola bilioni 30 kutafuta muarubaini wa mabadiliko ya hali ya hewa

Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema uhaba wa ufadhili umekuwa ni suala linalodumaza uchukuaji wa hatua kuhusu mabadiliko ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Decemba 2, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Dec 2, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Kuzindua Programu ya Nishati safi ya Kupikia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia...

READ MORE

Daktari Mdogo Kuliko wote HKMU atoa Neno Kuhitimu Akiwa na Umri Mdogo

MHITIMU wa fani ya udaktari ambaye ni mdogo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert kairuki...

READ MORE

Kampuni ya Vivo Energy Yawakumbuka Wanafunzi Wenye Uhitaji Sekondari Ya Jangwani

Dar es Salaam, 1 Desemba 2023: Kampuni ya mafuta ya Vivo Energy inayomiliki vituo vya mafuta vya Engen, leo imefanya...

READ MORE

Harmonize Awafunika Diamond, Mbosso Kusikilizwa Zaidi Boomplay

Wakati mwaka 2023 ukielekea ukingoni, mtandao wa kustream muziki wa Boomplay, umetoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kusikilizwa zaidi...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (COP28), Dubai

Rais Samia Suluhu Hassan, amehutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (COP28), Dubai ambapo pamoja na...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa shambani kwake Msoga mkoa wa Pwani

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake kijijini Msoga mkoa wa Pwani...

READ MORE

Kasino ya Shaolin Crew Ndani ya Meridianbet

Taifa la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa...

READ MORE

Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally Amfanyia Dua Maalum Makonda – Picha

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023...

READ MORE

Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano, TCRA Yaitembelea Global TV

Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), leo Desemba 1, 2023 imetembelea Ofisi za Global TV zilizopo Sinza...

READ MORE

Nigeria Yaridhishwa Na Utendaji Wa Serikali Ya Awamu Ya Sita

Nigeria imeoneshwa kuridhishwa na utendaji wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Tanzania Kuwa Mwenyeji Mkutano  wa Kimataifa Kujadili Changamoto za Usonji na Utindio wa Ubongo

Tanzania inatazamiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimatifa unaolenga kujadili changamoto zinazohusiana na usonji na utindio wa ubongo utakaofanyika tarehe...

READ MORE