×

Mwanamitindo Ilebaye Odiniya Aibuka mshindi Big Brother

LAGOS, Nigeria Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa saba wa shindano la runinga Big Brother Naija...

READ MORE

Rais Samia Amteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Oktoba 2, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 1, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Jokate Mwegelo Ateuliwa Kuwa Katibu Mkuu UWT

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyokutana katika kikao chake maalumutarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar...

READ MORE

Kuelekea Kumbukumbu Ya Baba Wa Taifa Msafara Wa Waendesha Baiskeli Unaojulikana Kama Twende Butiama Umeanza Safari Leo

Kuelekea kumbukumbu ya kumuenzi baba wa taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliyefariki Oktoba 14, 1999, msafara wa...

READ MORE

TADB Yawezesha Dhamana Ya Mikopo Ya Sh. 221.3bn/- Kwa Wakulima Wadogo Nchini

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupitia Mfuko wa Dhamana kwa Wakulima Wadogo (SCGS) imewezesha upatikanaji wa mikopoyenye thamani...

READ MORE

Ishu Ya Whozu Na Wema, Gigy Money Akiwasha Tena, Mnanionaga Chizi Wema Anampenda Sana Whozu..

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia...

READ MORE

Arteta Afichua Jambo Arsenal “Tunatakiwa Kushambulia kwa Haraka”

MIKEL Arteta, amesema timu yake ya Arsenal imekuwa ikiruhusu mabao mengi hasa ikicheza nyumbani kutokana na wachezaji wake kuwa na...

READ MORE

Bajeti Ya Serikali Ya Marekani Chupuchupu Kukwama – Yapata Idhini Ya Matumizi Ya Wiki Sita Tu

Baraza la wawakilishi la Marekani Septemba 30, 2023 limepitisha mswaada wa sheria wa kuifadhili serikali kuu kwa siku 45 na...

READ MORE

Mwanamume Afariki Baada ya Nyangumi Kugonga Boti

Nyangumi mmoja ameigonga mashua nchini Australia na kumuua mtu mmoja na kumwacha mwingine kujeruhiwa, polisi wamesema. Watu hao walikuwa kwenye...

READ MORE

Chama, Luis Wapewa Zigo Zito Kuiondosha Power Dyhamos

KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewapa majukumu...

READ MORE

Papa Francis awapandisha vyeo makasisi 21 kuwa makadinali

Papa Francis Jumamosi aliwapandisha vyeo makasisi 21 kutoka maeneo ya mbali duniani, kuwa makadinali, akisema kuwa kujumuisha watu kutoka maeneo...

READ MORE

Breaking: Moto Mkubwa Unateketeza Majengo Na Maduka Kariakoo, Dar – Video

Moto huo umetokea asubuhi ya Oktoba Mosi, 2023 eneo la Kariakoo Dar es Salaam ambapo umeripotiwa kuwaka kwenye zaidi ya...

READ MORE

Mama Wa Mapacha Aliyekuwa Amezuiwa Hosptalini Arusha Alipiwa Bili – Video

Mwanadada Mwanaidi Seleman ambaye alijifungua watoto mapacha ambao hawajatimia muda wao (njiti) katika Hospitali ya Selian Lutheran iliyopo Arusha kisha...

READ MORE

Ni Kweli Wanawake Wazuri Hawaoleki? Soma Hapa

TUNAFAHAMUkwamba hakuna mwanamke mbaya. Ila katika mazingira ya kawaida wapo ambao wanakuwa na umbo fulani la kuvutia zaidi. Wanawake ambao...

READ MORE

Lake Energies Yadhamini Mashindano Ya NCBA Golf Series Gymkhana Kadi

Mkurugenzi Mtendaji wa Lake Energies, Abdirahman Ahmed, akimkabidhi Ayne Magome zawadi ya mtungi wa gesi pamoja na kadi ya kujaza...

READ MORE

Shirika la Ndege la Rwandair Lamwaga Zawadi Kwa Wateja, Wadau Wa Tanzania

Shirika la Ndege la Rwanda, Rwandair @flyrwandair hapo jana, Septemba 29, 2023 lilikutana na wateja na wadau wake wa nchini Tanzania katika...

READ MORE

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure, wanawake wapewa neno

NA MWANDISHI WETU MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Tupac Mwaka 1996 Akamatwa na Polisi

Mwanaume aliyetambuliwa kwa jina la Duane “Keefe D” Davis amekamatwa na Polisi, akihusishwa moja kwa moja na mauaji ya Rapa...

READ MORE

Inasikitisha! Mume Alinikimbia Nikiwa Na Mimba, Nikaanza Penzi Na Mume Wa Mtu – Video

Mwanamama Zuhura Abdallah almaarufu Zuhura Sokomoni aliyepata umaarufu miaka ya nyuma kwa kucheza Taarab akiwa na kundi lake la Sokomoni...

READ MORE