×

Mapya Yaibuka Vijana Waliopotea Kariakoo Siku 373 -Wazazi Wao Wafunguka Haya – “Rais Samia Tusaidie”- Video

Mama mzazi wa Mohammed Rashid (23) amefanya mahojiano na Global Tv katika kipindi cha Katambuga na kueleza namna ambavyo mwanaye...

READ MORE

Bosi wa Tanapa Mwakilema Ateuliwa Kumrithi Jokate Wilaya ya Korogwe

Rais Samia Hassan leo Oktoba 3, 2023 amemteua William Simon Mwakilema, Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu na Kamishna TANAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Oktoba 3, 2023 ameteua na kufanya mabadiliko ya uteuzi kwa...

READ MORE

Rais Samia Amteua Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Mwenyekiti wa MoCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua George Nathaniel Mandepo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa BASATA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Oktoba 3, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 3, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga na Matunda Qatar

DOHA, Qatar: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo cha Mbogamboga...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Viwanda, Biashara na Mifugo Yaipongeza Wizaya ya Kilimo

Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Wizara ya Kilimo kwa utekelezaji mradi uandaaji mashamba ya...

READ MORE

Total Energies Yasherehekea Wiki Ya Huduma Kwa Wateja 2023 Kwa Kufungua Mlango Mpya Wa Huduma Bora

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Ltd, Mamadou Ngom (wa pili kulia) akizungumza na Mkuu wa Wilaya...

READ MORE

NMB Yazindua Huduma Ya Kibenki Ya NMB KWETU Kwaajili Ya Diaspora Wa Kitanzania Waishio Nje Ya Nchi

Benki ya NMB imezindua huduma rasmi dirisha la huduma za kibenki kwa Watanzania waishio Nchi za Nje yaani Wana Diaspora...

READ MORE

Hotuba Ya Mkuu Wa Kitengo Cha Huduma Kwa Wateja Wa Tigo, Mwangaza Matotola Wakati Wa Uzinduzi Wa Maadhimisho Ya Wiki Ya Huduma Kwa Wateja

Oktoba 2 2023 Iringa Wageni waalikwa, Waandishi wa Habari, Mabibi na Mabwana, Habari za Asubuhi! Napenda kuwashukuruni nyote kwa kuungana...

READ MORE

Aweso atekeleza maagizo ya Dkt. Biteko, milioni 250 kumwaga maji Ngara

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefika kata Murusagamba wilayani Ngara Mkoani Kagera kufatia agizo alilopewa na Naibu waziri mkuu...

READ MORE

Wizara ya Ardhi Yashika Nafasi ya Kwanza Kundi la Wizara Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi

  Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imekabidhiwa tuzo ya ushindi wa kwanza kwa upande wa kundi la...

READ MORE

Huzuni Yatanda Watu 22 wa Familia Moja Waliokufa Kwa Moto Harusini Wakizikwa

  Watu 22 wa familia moja waliopoteza maisha baada ya ukumbi waliokuwa wakifanyia shehere ya harusi kuteketea kwa moto nchini...

READ MORE

Kamata Maokoto ya Kutosha Meridianbet

Je, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure?  Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti...

READ MORE

Watu 13 Wafariki Dunia na Wengine Kujeruhiwa Baada ya Moto Kuteketeza Klabu ya Usiku

Watu 13 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia moto mkubwa kulipuka na kuiteketeza klabu moja ya usiku katika Mji...

READ MORE

Airtel Yazindua Huduma kwa Wateja Dar, DC Azungumza

Nachukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa afya na kuweza kumujuika hapa siku ya leo kwenye uzinduzi wa wiki...

READ MORE

Mwanamitindo Ilebaye Odiniya Aibuka mshindi Big Brother

LAGOS, Nigeria Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa saba wa shindano la runinga Big Brother Naija...

READ MORE

Rais Samia Amteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Mobhare Matinyi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali. Kabla ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Oktoba 2, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 1, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE