×

Ten Hag hali mbaya Man United, Wachezaji Wafunguka Mazito Wamtaja De Gea

WACHEZAJI wakongwe wa Manchester United, wameonekana kuwa na hasira na kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag jinsi alivyomuondoa David...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aivuruga Ramani ya Wapinzani

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amevuruga ramani za wapinzani wake wanaofikiria mbinu yake ya kupata mabao itakuwa kwa washambuliaji...

READ MORE

#Exclusive: Mzee Aliyeimba ‘Tanzania Yetu’ Atakutoa Machozi-Haoni, Anaimba Kwenye Baa Apate Kula – Video

 Mashairi ya nyimbo na sauti tamu unayoisikia, ni kutoka kwa mzee Stiven Hiza, mwanamuziki mkongwe, ambaye tungo ya nyimbo...

READ MORE

Watumishi Sita Missenyi Matatani Kwa Ubadhirifu, Majaliwa Atoa Tamko – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi wafuatiliwe ili warejeshe fedha za umma na...

READ MORE

Aliyedaiwa Kugomea Uteuzi Wa Rais Kuwa Mkuu Wa Wilaya Arudishwa Kazini

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Maganga M. Japhet, na baadaye kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya...

READ MORE

Kiza Kinene, Warda Bado Hajapatikana, Milioni 3 Atakayemuona Kutolewa -Video

Dau la shilingi milioni 3 limetangazwa kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa binti mdogo, Warda Mohammed (15), mwanafunzi wa...

READ MORE

Bosi Mkuu wa Kampuni ya X (zamani Twitter) India Samiran Gupta Ajiuzulu

Bosi Mkuu wa Kampuni ya X (zamani Twitter) nchini India Samiran Gupta amejiuzulu. Hatua hiyo imekuja wakati Kampuni hiyo ikipambana...

READ MORE

Papa Francis asisitiza serikali za Ulaya lazima zifanye zaidi kuwahudumia wahamiaji

Papa Francis ametoa wito kwa mataifa ya Ulaya kuonesha uvumilivu zaidi kwa wahamiaji wakati wa ziara yake katika mji wa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumapili, Septemba 24, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 24, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Mtangazaji Hassan Wiboneya ‘Dee Seven’ Afariki Dunia

Mtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African...

READ MORE

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani, madaktari watoa ujumbe kwa jamii

  NA MWANDISHI WETU WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) leo Ijumaa wamejitokeza katika maonesho ya sita...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Mke Wangu Alivyonibadilikia Baada ya Kujifungua Mtoto wa Pili

  Ndoa yeyote bila ya kuwa na mapenzi ya kweli hukumbwa na misukusuko ya kila aina wakati wowote ule, ni...

READ MORE

Kiungo Afichua Siri Za kocha wake Miguel Gamondi

KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahya amefichukua sababu kubwa iliyopelekea afunge bao pekee katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali, Makatibu wa Mkoa na Wilaya, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 23, 2023 amefanya uteuzi kama ifuatavyo: UKWELI WOTE:...

READ MORE

Rais Atengua Uteuzi Wa Mkuu Wa Wilaya Ya Mtwara Na Mkurugenzi

Rais Samia amemuondoa kazini Hanafi Msabaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mjini na kumteua Mwanahamisi Mkunda kuchukua nafasi hiyo...

READ MORE

Uteuzi: Maharage Chande Aondolewa Tanesco, Apelekwa TTCL

Rais Samia amefanya Mabadiliko ya Wakuu wa Taasisi na kumteua Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Amteua Gerson Msigwa Kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

Rais Samia amemteua Gerson Msigwa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo....

READ MORE

Mil 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja Korofi la Kiseru Wilaya ya Kiteto- Mbunge Ole Lekaita

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa...

READ MORE

Benki ya Absa Yasogeza Karibu Huduma za Kibenki Kwa Watanzania Ikizindua Absa Wakala

Benki ya Absa Tanzania imezindua huduma yake ya Absa Wakala ikiwa ni mikakati ya benki hiyo katika kusogeza huduma za...

READ MORE

Gari La Abiria Lagongwa, Watu 9 Wafariki, 23 Wajeruhiwa Mbeya

Ajali imetokea katika Mteremko wa Iwambi, Mbeya Vijijini baada ya Lori aina ya Howo la #Zambia likiendeshwa na Mohamed Abilah...

READ MORE