×

Kamisheni ya Utalii Zanzibar Yatoa Mwongozo Maalum Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Zanzibar – Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka watalii, wafanyabiashara pamoja na wadau wote wa sekta ya utalii visiwani humo kuheshimu...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Ataka Ushirikiano Wa Kikanda Kwenye Mapambano Dhidi Ya Saratani

▪Asisitiza Tanzania itaendelea kuwa kituo bora cha ushirikiano wa kikanda na Afrika ▪Asema shilingi bilioni 18.5 zimetengwa kwa ajili ya...

READ MORE

Lissu Alalamikia Kutopatiwa Chakula, Kesi Yaahirishwa Kwa Muda

Dar es Salaam – Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeahirishwa kwa muda wa dakika 15...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Tanzania Kwenda Addis Ababa Kuhudhuria Mkutano wa AU

Dar es Salaam, Februari 12, 2026 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekiagana na...

READ MORE

Watoto Wawili Wauawa Serengeti, Mtuhumiwa Auwawa na Wananchi

Wakazi wa Kijiji cha Rung’abure, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wamekumbwa na tukio la kusikitisha la mauaji ya watoto wawili...

READ MORE

Diamond Platnumz Aachia Video Mpya ya ‘Natulizana’

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ameachia video ya...

READ MORE

Tanzania na Urusi Zakubaliana Kuimarisha Biashara, Nishati na Madini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya ziara ya kikazi nchini...

READ MORE

Taarifa Zote za Michezo Njoo Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu...

READ MORE

Ujio Wa Kalamba Games Wazigeuza Sloti Kuwa Safari Ya Burudani Na Ushindi

Vipi kama kila mzunguko wa sloti ungekuwa mwanzo wa safari mpya? Meridianbet sasa inakupa fursa hiyo baada ya kuwakalibisha Kalamba...

READ MORE

Rais Mnangagwa Apendekezewa Mfumo Mpya wa Uchaguzi Kupitia Bunge

Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeidhinisha rasimu ya sheria inayopendekeza mabadiliko makubwa ya kikatiba, hatua itakayomruhusu Rais Emmerson Mnangagwa (83)...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Feb 12, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Tottenham Wamtimua Kocha Thomas Frank Baada ya Matokeo Mabovu

Klabu ya Tottenham Hotspur imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha wake mkuu, Thomas Frank, kufuatia matokeo mabovu yaliyoikumba timu hiyo katika...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wenyeviti wa Bodi Anne Makinda, Prof Maboko Na Wengine 3 -Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali za taasisi...

READ MORE

RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi ya BRT phase...

READ MORE

Kilombero Sugar Yaendelea Kukuza Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA

Morogoro, 12 Februari 2026 Kampuni ya Sukari Kilombero imekamilisha kwa mafanikio Awamu ya Pili ya Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA...

READ MORE

Nmb Yadhamini Maonesho ya Tri-Nations Livestock Expo Kwa Mil 300, Serikali Yaipongeza

Benki ya NMB imekabidhi mfano wa hundi yenye dhamani ya Sh. Mil. 300 kama uzamini wa miaka 3 ya Maonesho...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akabidhi miundombinu 21 ya utalii ya Shillingi billioni 114

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua na kukabidhi miundombinu 21 ya utalii yenye thamani ya Shillingi billioni 114.62. Amesema ujenzi...

READ MORE

Yanga Watangaza Viingilio vya Mchezo wa CAFCL Dhidi ya JS Kabylie Zanzibar

Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetangaza rasmi viingilio vya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya...

READ MORE

OSHA Yaja na Mpango wa Kuwezesha Biashara na Uwekezaji Nchini

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akizungumza na washiriki wa kikao kazibaina ya OSHA na Maafisa Biashara wa Mikoa...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi 3 ya Lissu, Lakubali Hoja Kuhusu Kizimba cha Shahidi wa Siri

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali mapingamizi matatu kati ya manne (4) yaliyowasilishwa na...

READ MORE