×

Chongolo: Serikali ya Rais Samia Itaendelea Kutatua Changamoto Za Wananchi

Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),  Daniel Chongolo amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia...

READ MORE

Meridianbet Yabisha Hodi Ubungo-Kibangu

  Ni habari njema kwa wakazi wa Ubungo-Kibangu hii leo ambapo timu nzima ya Meridianbet wamefika eneo hilo na kuzindua...

READ MORE

Wanawake Mufindi Waiomba Serikali Iwape Mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

  Wanawake wilayani Mufindi wameiomba serikali kuwapa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili waweze kujiendeleza katika biashara zao...

READ MORE

DC Jokate Mwegelo Aishukuru Lions Club International Kuungana Na Serikali Kuboresha Huduma Za Afya

Dar es Salaam, 26 Mei 2023: MKUU wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga Jokate Mwegelo amelishukuru Shirika la Lions Club...

READ MORE

Wakulima wa Kakao Mbeya Watakiwa Kujiunga Kwenye Vyama vya Ushirika

  Wakulima wa zao la Kakao mkoani Mbeya wametakiwa kuacha kutengeneza matabaka na badala yake waungane kupitia Vyama vya ushirika...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lamsaka Mwanaume Aliyemtoboa Jicho Mkewe na Kumng’oa Jino

Jeshi la Polisi mkoani Arusha, linamsaka Isaack Mnyagi kwa tuhuma za kumtoboa jicho na kumng’oa meno mkewe, Jackline Mkonyi kwa...

READ MORE

Chama Agawa Tuzo Kwa Mastaa Simba Ligi Kuu Bara

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa ikiwa atakosa tuzo ya kiungo bora ndani ya...

READ MORE

Mahakama ya Juu Nigeria Yatupilia Mbali Kesi ya Kutaka Kumuondoa Rais Mteule Bola Tinubu

Mahakama ya Juu nchini Nigeria imetupilia mbali kesi ya kutaka kumuondoa rais mteule Bola Tinubu na mgombea mwenza wake Kashim...

READ MORE

Kocha wa Yanga Ategua Mitego Ya Waarabu Uwanja wa Mkapa, Dar

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amewataka mabeki wake kutofanya makosa yasiyokuwa na ulazima nje ya 18 yatakayosababisha...

READ MORE

Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda, Fulgence Kayishema Afikishwa Mahakamani Afrika Kusini

Fulgence Kayishema, mmoja wa watoro wa mwisho waliokuwa wanasakwa kwa kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini...

READ MORE

Mwanzo Mwisho Maziko Ya MC Joel Aliyejirusha Ghorofani Dar – Video

Joel Misesemo (MC Joel) aliyefariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza, Makumbusho jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Madaktari bingwa 10 Waliokuwa India Warudi na Shuhuda Nzito Kuhusu Utalii Tiba

·      Wasema huduma walizoona India Tanzania zipo ·      Wampongeza Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa sekta ya...

READ MORE

Chongolo Afunguka “CCM Tunataka Katiba Iliyo Bora”

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kwa sasa hakuna chama chochote cha Siasa au Mtu yeyote...

READ MORE

Meridianbet Odds Kubwa Wikiendi ya Shangwe

Wikiendi hii ni siku ya sikukuu kwa wapenzi wa kubashiri soka, kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, odds kubwa kwenye mechi...

READ MORE

Watu 73 Washikiliwa Na Polisi Kesi Ya Mauaji, Madawa Ya Kulevya – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu, kupitia Opereisheni iliyoanza Mei, 01, 2023 hadi Mei 24, 2023 imefanikiwa kuwadaka watu 73...

READ MORE

Kwa Mbinu Hii, Hakuna Mwanaume Anayeweza Kutoka Kimapenzi na Mke Wangu

  Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume yoyote ambaye anapenda sehemu ambayo anachovya asali pia mwanaume mwingine aje achovye asali, tena...

READ MORE

Ulinzi Waongezwa Kambi Ya Yanga Kuelekea Mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika

KUELEKEA mchezo wa kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga imeongeza ulinzi katika kambi yake waliyoiweka huko Kijiji...

READ MORE

Makachero Wa Nabi Wawamaliza Waarabu Fainali ya Kombe la Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameshusha pumzi kuelekea katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya...

READ MORE

Wajawazito Korogwe Kuoneshana Umwamba Kwenye Mbio Za ‘Mamathon’ Mei 28

Tanga: NI Mei 28 Korogwe! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea tukio kubwa la mbio za wanawake wajawazito ambazo zitafanyika siku hiyo...

READ MORE

Pretty Kind Aachia Video Mpya ya ‘Mungu Baba’ – Video

Mwimbaji wa Gospel na muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amesema anawakaribisha mashabiki wake wote...

READ MORE