×

Burna Boy Kutumbuiza katika Fainali za UEFA Istanbul, Turkey

Msanii wa Nigeria na mshindi wa Tuzo za Grammy Burna Boy atatumbuiza katika sherehe za uzinduzi wa fainali za kuwania...

READ MORE

Aussems: Nawaonea Huruma Horoya Kwa Kitakachowakuta

KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji Patrick Aussems ameweka bayana kuwa haoni namna yoyote ya wapinzani wa Simba katika Ligi...

READ MORE

Rais Samia Afanya Ziara ya Kihistoria Afrika Kusini Ahimiza Ushirikiano wa Kiusalama na Biashara

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika ziara yake ya kiserikali nchini Afrika Kusini amehimiza ushirikiano zaidi wa kiusalama na...

READ MORE

Kocha wa Yanga Awabebesha Zigo Zito Lomalisa, Moloko

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi anataka kuona timu yake ikitengeneza mabao kupitia pembeni ikiwatumia mabeki na viungo wa...

READ MORE

Kagera: Ugonjwa Usiojulikana Waibuka Na Kuua Watano, RC Chalamila Afunguka – Video

Wizara ya Afya imepokea taarifa ya kuwepo Ugonjwa huo katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, Kata ya Maruku na Kanyangereko, Vijiji...

READ MORE

Tanzania Iko Tayari Kuilisha Dunia

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula...

READ MORE

Gianni Infantino Achaguliwa Tena Kuongoza FIFA

Rais wa shirikisho la kandanda duniani Gianni Infantino amesema kwamba ataendelea kuimarisha kukua kwa sekta ya soka ulimwenguni kwa kuinua...

READ MORE

Mtoto wa Rais Yoweri Musevenia Kugombea Urais Uganda Mwaka 2026

Mtoto wa kiongozi wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema ananuia kugombea urais mwaka 2026, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Jenerali...

READ MORE

Dkt. Kiruswa: GGML Inaibeba Geita, Wizara ya Madini Kutafsiri Vyema Maboresho Sheria ya Madini

NA MWANDISHI WETU NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema mojawapo ya kampuni za madini zinazoongoza nchini kwa kutafsiri...

READ MORE

Bandari Ya Kilwa Masoko Yapongezwa Kwa Huduma Bora

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepongezwa kwa Huduma bora zinazotolewa na Bandari ya Kilwa Masoko. Pongezi hizo zimetolewa...

READ MORE

CBE Yaanzisha Shahada 10 za Uzamili

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye  kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha...

READ MORE

Kenya: Rais Ruto Amuonya Odinga Dhidi ya Maandamano ya Umma

Rais wa Kenya William Ruto amemuonya kiongozi mkuu wa upinzani Raila Odinga dhidi ya kufanya maandamano ya umma yaliyopangwa na...

READ MORE

Chama Aweka Rekodi CAF, Abeba Tuzo Mbele Ya Mastaa Wa Raja

KIUNGO mshambuliaji wa Simba Mzambia, Clatous Chama, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Wiki ya Raundi ya Nne ya Ligi ya...

READ MORE

Waarab Watashangaa…. Nabi Aandaa Sapraizi Mpya Yanga SC

UPO uwezekano wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi kumuanzisha beki wake Ibrahim Hamad ‘Bacca’ katika kikosi chake cha...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chama Cha Mabenki Tanzania (TBA) Aongoza Maadhimisho Siku Ya Wanawake Duniani

Dar es Salaam, Machi 16, 2023: Chama cha Mabenki Tanzania (TBA)  kimeadhimisha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa kila Machi 8 kwa...

READ MORE

Kimbunga Freddy: Malawi Yatangaza siku 14 za Maombolezo

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Jumatano alitangaza wiki mbili za maombolezo ya kitaifa kwa zaidi ya watu 200 waliofariki kutokana...

READ MORE

Hotuba Ya Katibu Mkuu Wizara Ya Nishati Katika Maonesho Ya LPG Afrika Mashariki – Tanzania 2023

Bw. Benoit Araman – Mwenyekiti, Chama cha LPG Tanzania na Mkurugenzi Mkuu Oryx Gas Tanzania; Bw. Amos Jackson – Tanzania...

READ MORE

Meridianbet Yashusha Neema Kwa Bodaboda Kawe Dar

Bahati haiji kwa siku moja lakini msemo huu una maana kubwa kwa bodada wa Kawe ambapo Meridianbet, iliwapatia Reflector ikiwa...

READ MORE

Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa chakula na kilimo

Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka...

READ MORE

Wizara Ya Nishati Yazindua Umoja Wa Wazalishaji Na Wasambazaji Wa Gesi Ya Kupikia Majumbani

Dar es salaam: 15 Machi 2023, Wizara ya Nishati Yazindua Umoja wa Wazalishaji na Wasambazaji wa Gesi za kupikia majumbani...

READ MORE