×

Rais Ramaphosa Atangaza Janga la Kitaifa Kufuatia Uhaba Mkubwa wa Umeme nchini Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Alhamisi alitangaza janga la kitaifa katika hatua ya kuharakisha juhudi za kukabiliana na rekodi...

READ MORE

MBUNGE David Kihenzile Ashinda Tena Kwa Kishindo Kuongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge

MBUNGE wa Mufindi Kusini, David Kihenzile ameshinda kwa kishindo kwa mara ya pili kuongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki: Matumaini ya Kupata Manusura Yanafifia Vifo Vikifikia 21,000

Zaidi ya watu 20,000 sasa wamepoteza maisha katika tetemeko la ardhi la Jumatatu nchini Uturuki na Syria, ingawa Umoja wa...

READ MORE

Maelfu Wataka Kumuasili Mtoto Mchanga Aliyezaliwa chini ya Vifusi vya Tetemeko la Ardhi Uturuki

Maelfu ya watu wamejitokeza kutaka kumuasili mtoto wa kike aliyezaliwa chini ya vifusi vya jengo lililoporomoka kaskazini-magharibi mwa Syria, kufuatia...

READ MORE

Mfumuko wa Bei kwa Mwezi Desemba/Januari 2023 Kwa Baadhi ya Nchi:

Kenya 9.0% Rwanda 21.6% Uganda 10.4% Nigeria 21.3% Misri 25.8% Ghana 54.1% Uturuki 64.7% Sudan 88.8% Argentina 94.8% Zimbabwe 244%...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon Yatangaza Kufungwa Kwa Usajili

Zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya kufanyika mashindano ya Kilimanjaro International Marathon, wandaaji wa mbio wa mbio hizo maarufu kama...

READ MORE

Wadau Wa Elimu Tanga, Waungana Na SBL Kulinda Ndoto Za Wanafunzi

Dar es Salaam, Februari10, 20233    –  Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeungana na wadau wa elimu wa mkoani Tanga,...

READ MORE

Beki Yanga Ajilipua Tunisia Atamba na Ushindi dhidi ya US Monastir

BEKI wa kushoto wa Yanga Mkongomani, Joyce Lomalisa Mutambala ameahidi kuipambania timu yake kwa kucheza kwa kujitoa kwa ajili ya...

READ MORE

Watu 12 Wafariki Dunia, 50 Wajeruhiwa katika Ajali ya Basi la Frester Kugongana na Lori Dodoma Likitokea Bukoba-Video

WATU 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni...

READ MORE

Mwisho Wa Mjadala, Morocco Inatosha Afcon 2025

NOVEMBA mwaka jana wakati wa Fainali za Ligi ya Mabingwa ya Wanawake iliyofanyika nchini hapa, Rais wa Caf, Patrice Motsepe...

READ MORE

Mbunge Shigongo Atoa Shukrani Baada Ya Global Tv Kushika Namba 1 Tanzania, Afichua Ilivyoanza…

MBUNGE wa Buchosha Mkoani Mwanza na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Publishers na Global TV, Erick Shigongo ametoa shukrani...

READ MORE

Msanii Albino Flani Afariki Akiwa Marekani, Wasanii Wenzake Wamlilia – Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mwanaharakati wa kutetea haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, Babu Sikare almaarufu...

READ MORE

Tetemeko la ardhi Uturuki: Juhudi za Uokoaji Zinaendelea huku idadi ya Waliokufa Ikiwa ni zaidi ya 12,000

Idadi ya vifo kutoka nchi zote mbili ilitarajiwa kuongezeka kwani mamia ya majengo yaliyoporomoka katika miji mingi yamekuwa makaburi ya...

READ MORE

Safiri Bure siku ya Valentine na Umpendaye! Download Application ya CHAPRIDE Kwenye Simu Yako

Chapride itakusafirisha wewe na umpendaye BURE kwenda sehemu yoyote ndani ya Jiji la Dar es Salaam. Mpeleke umpendaye popote unapopataka...

READ MORE

Expanse Studios na Meridianbet Kuja na Sloti Mpya

Expanse Studios, mtengeneza programu anayekua kwa kasi zaidi katika michezo ya kasino mtandaoni ambayo mingi unaipata Meridianbet Kasino ya Mtandaoni,...

READ MORE

Man City Hatihati Kushushwa Daraja Kutoka Ligi Kuu ya England au Kukatwa Pointi

MANCHESTER City huenda ikakabiliwa na adhabu ya kushushwa daraja kutoka Ligi Kuu ya England au kukatwa pointi kwa kosa la...

READ MORE

Ramaphosa Akiri Tatizo la Umeme Afrika Kusini Limeathiri Sekta ya Madini

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa anasema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini, nguzo muhimu ya...

READ MORE

Baada Ya Kuweka Rekodi… Kocha Mkuu wa Yanga Afichua Siri Yanga

NASREDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, ameweka wazi kuwa, siri ya kupata ushindi kwenye mechi tisa mfululizo za Ligi Kuu...

READ MORE

Kocha wa Al Hilal ya Sudan Florent Ibenge Aitabiria Makubwa Simba Kimataifa

BAADA ya juzi Jumapili kuiongoza Al Hilal kuilazimisha Simba sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki, Kocha...

READ MORE

Tetemeko la Ardhi Uturuki na Syria: Idadi ya Waliofariki ni Zaidi ya 8,700

Zaidi ya watu 8,700 wanadaiwa kufariki nchini Uturuki na Syria kufuatia tetemeko la ardhi la Jumatatu. Idadi ya vifo nchini...

READ MORE