×

Kijana Aliyeokoa Abiria wa Ajali ya Ndege ya Precision Air Apewa Zawadi

SERIKALI kupitia kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila imempongeza kijana Majaliwa Jackson aliyeokoa Maisha ya abiria 26 waliopata...

READ MORE

Live: Bukoba: Miili 19 Waliofariki Ajalini Inaagwa Muda Huu, Vilio Vyatawala-Video

KUTOKA Bukoba mkoani Kagera Miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya Ndege ya Shirika la Precision Air inaagwa muda...

READ MORE

Tems Achomoa Kufanya Shoo Kenya ‘Hajisikii Kwenda Kenya’

MWIMBAJI nyota wa muziki toka Nigeria, Temilade Openiyi maarufu kama ‘Tems’ ametangaza kushindwa kutumbuiza kwenye tamasha la “Tukutane” jijini Nairobi,...

READ MORE

Kocha wa Arsenal Abainisha kwa Sasa Klabu Hiyo Inafikiria Mbio za Ubingwa

KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta amebainisha kuwa kwa sasa Arsenal ipo kwenye mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya...

READ MORE

Wezi Walioniibia Mali Zangu Wamerudisha Kila Kitu Wakiwa Wanalia

VIJANA katika kutafuta maisha tunapitia mambo mengi sana, hadi unaona mtu anafanikiwa kimaisha sio jambo rahisi, unapaswa kumpongeza maana amepitia...

READ MORE

Spika Tulia Anatoa Tamko Kuhusu Ajali ya Precision Air – “Tumetuma Wawakilishi Watatu-Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson anatoa tamko kuhusu ajali ya Ndege ya Kampuni ya...

READ MORE

Ndoa ya Amber Lulu Yanukia, Adaiwa Kuwa Kwenye Uhusiano na Mtu Mpya

Amber Lulu; ni mwanamama staa wa muziki wa Kizazi Kipya ambaye hatimaye ametangaza jambo zito, amesema ndoa yyake inanukia. Amber...

READ MORE

Miili 19 Ajali ya Ndege ya Ziwa Victoria Yatambuliwa, RC Chalamila Ataja Majina, Wamo Marubani -Video

MIILI 19 ikiwa ni pamoja na wanafamilia wawili na Mchina mmoja iliyopatikana kwenye eneo la ajali ya ndege ya abiria...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo Nov-7, Kwa nusu bei tu Gazeti la Championiwww.globalapp.co.tz AU Championihttps://bit.ly/3M4GO0G . Twende...

READ MORE

Nafasi ya Kazii Upendo Honey Limited, Quality Assurance Specialist

TML Junior QA/QC Application Form 2022-11 Thank you for your interest in a job with Third Man ltd. (trading as...

READ MORE

Waajiri Waaswa Kuwasilisha Michango ya Wanachama kwa Wakati

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewataka  waajiri ambao wanachelewesha   michango ya watumishi kunasababisha  tozo...

READ MORE

Mahafali ya Shule Ya St Anne Marie Academy Yafaana Dar

  MBUNGE wa Bukoba Vijijini, Dk. Jasson Rweikiza, amesema mwanafunzi ambaye atafiwa na wazazi wake wakati akiendelea na masomo kwenye...

READ MORE

Wizara za Maji na Afya Kushirikiana Kuepusha Changamoto ya Maji Hospitali ya Muhimbili

Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso leo ametembelea hospitali ya Taifa Muhimbili kuhakikisha huduma za maji ndani ya hospitali hiyo zinaendelea...

READ MORE

Kisa Waarabu… Aziz Ki, Mayele Waapa Kuwamaliza Club Africain Nchini Tunisia

KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Club Africain ya Tunisia, uongozi wa Yanga umeibuka na kuweka wazi kuwa mastaa wa...

READ MORE

Ajali ya Ndege Ziwa Victoria Waliofariki Wafikia 19, Majeruhi 26

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila idadi ya waliofariki yafikia 19, majeruhi 26. Taarifa hiyo imetolewa...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Elimu ya Uzalendo Kwa Maelfu ya Waumini Kanisa la Ngome ya Yesu

    6 Novemba 2022: JESHI polisi nchini leo limetoa elimu ya uzalendo mbele ya maelfu ya waumini waliofurika kwenye...

READ MORE

Kocha wa Yanga Aitaja Siri ya Kuwang’oa Waarabu Nchini Tunisia Kombe la Shirikisho

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi ameshangaa kuwaona watu kama wamefungwa katika mchezo wa kwanza huku akiwaambia mashabiki wa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kufuatia Ajali ya Ndege Iliyotokea Ziwa Victoria

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa watu walioathirika kufuatia ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria...

READ MORE

Kisa Rayvanny… Paula, Fahyma Vitani Upya Paula Amwambia Fahyma ‘Huna Akili’

  Rayvanny au Vanny Boy; ni supastaa mwingine wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye miezi michache iliyopita alithibitisha...

READ MORE

Nafasi ya Kazi CAMARTEC, Artisan(Carpentry)

POST ARTISAN (CARPENTRY) II – 1 POST EMPLOYER Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology(CAMARTEC) APPLICATION TIMELINE: 2022-10-28 2022-11-10 JOB...

READ MORE