×

Rais Samia Ateua Wenyeviti wa Bodi Anne Makinda, Prof Maboko Na Wengine 3 -Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali za taasisi...

READ MORE

RC Chalamila Achukizwa na Kasi ndogo ya Utekelezaji wa Miradi ya BRT Kinondoni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi ya BRT phase...

READ MORE

Kilombero Sugar Yaendelea Kukuza Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA

Morogoro, 12 Februari 2026 Kampuni ya Sukari Kilombero imekamilisha kwa mafanikio Awamu ya Pili ya Mpango wa Uwezeshaji wa TEHAMA...

READ MORE

Nmb Yadhamini Maonesho ya Tri-Nations Livestock Expo Kwa Mil 300, Serikali Yaipongeza

Benki ya NMB imekabidhi mfano wa hundi yenye dhamani ya Sh. Mil. 300 kama uzamini wa miaka 3 ya Maonesho...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Akabidhi miundombinu 21 ya utalii ya Shillingi billioni 114

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua na kukabidhi miundombinu 21 ya utalii yenye thamani ya Shillingi billioni 114.62. Amesema ujenzi...

READ MORE

Yanga Watangaza Viingilio vya Mchezo wa CAFCL Dhidi ya JS Kabylie Zanzibar

Klabu ya Young Africans (Yanga SC) imetangaza rasmi viingilio vya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya...

READ MORE

OSHA Yaja na Mpango wa Kuwezesha Biashara na Uwekezaji Nchini

Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi. Khadija Mwenda, akizungumza na washiriki wa kikao kazibaina ya OSHA na Maafisa Biashara wa Mikoa...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Mapingamizi 3 ya Lissu, Lakubali Hoja Kuhusu Kizimba cha Shahidi wa Siri

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali mapingamizi matatu kati ya manne (4) yaliyowasilishwa na...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yaipongeza Tarura Kwa Kuimarisha Barabara, Kuokoa Maisha ya Wananchi

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Selemani Kakoso ameipongeza Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Uwanja wa Ndege Mtemere Mloka Mkoani Pwani

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 amezindua uwanja wa ndege Mtemere uliopo katika kijiji cha Mloka, mkoani...

READ MORE

Mama wa Chid Benz Afariki Dunia, Msiba Upo Chanika jijini Dar

Mama mzazi wa msanii wa Hip Hop, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, Bi Hawa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

Scholes Aishauri Man United Kumsajili Cristian Romero Kutoka Tottenham

Nguli wa Manchester United Paul Scholes ameishauri klabu yake ya zamani kufanya usajili wa beki wa Tottenham Hotspur, Cristian Romero,...

READ MORE

Simba Yathibitisha Kuondoka kwa Kibu ‘Mkandaji’

Klabu ya Simba SC imethibitisha kwamba mshambuliaji wake, Kibu Dennis, hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo, akihitimisha utumishi wake...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Kuzindua Miundombinu ya Kisasa ya Utalii Hifadhi ya Nyerere

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Februari 11, 2026, ameelekea katika Hifadhi ya Taifa...

READ MORE

Leo Hii Mkwanja wa Maana Upo Meridianbet

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu...

READ MORE

Man United Yalazimishwa Sare ya 1-1 na West Ham, Bao la Mwisho Lamnusuru Sesko

Manchester United imelazimishwa kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa...

READ MORE

TEMESA Yatangaza Nafasi 6 za Meneja wa Kanda, Maombi Mwisho Februari 20

Kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Ufundi za Umeme, Mitambo na Elektroniki Tanzania (TEMESA), Ofisi ya Rais – Sekretarieti...

READ MORE

Vera Sidika Afunguka Kuwa Single, Avutiwa na Wanaume wa Tanzania

Mrembo na staa wa mitandao ya kijamii kutoka Kenya, Vera Sidika (@queenveebosset), ameweka wazi hali yake ya mahusiano, akithibitisha kuwa...

READ MORE

Kama Anakuliza Kila Siku, Unamng’ang’ania Wa Nini?, Soma Hapa

TUNAPOKUTANA kama hivi, tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani wapo ambao muda huu wako kitandani wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali...

READ MORE

Rashford Aondoka Rasmi kwenye Mipango ya United, Carrick Aweka Msimamo Wazi

Manchester United wanaonekana kuendelea na mipango yao ya muda mrefu bila kumjumuisha Marcus Rashford, huku hatma ya mshambuliaji huyo ikizidi...

READ MORE