×

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa July-29, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Agosti 5, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 5, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Talib Aungana na Simba Kusaidia Jamii Atoa Misaada kwa Vituo Vitatu

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Oman ya Beach Soccer, Talib Hilal, ambaye pia aliwahi kuichezea Simba, ameungana na...

READ MORE

Nandy: Billnass Punguza Mapenzi Utaniua! Ndoa Mpya Ndiyo Tamu Hivi

SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘nandy’ ameamua kufunguka ya moyoni kuhusu mahaba anayopewa na mumewe ambaye pia ni...

READ MORE

Nabi Hataki Utani Ampeleka Gym Morrison kwa Ajili ya Kuwavaa Waganda Wiki ya Mwananchi

KATIKA kuhakikisha anaendana na kasi ya wenzake, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi fasta amewapa program maalum ya gym...

READ MORE

Geita Gold Yashusha Mghana, Yapania Kufanya Makubwa Mashindano ya Shirikisho

KLABU ya Geita Gold imetangaza kumsajili mlinzi Shawn Oduro raia wa Ghana kwa mkataba wa miaka miwili ikiwa ni katika...

READ MORE

China Yaanza Mazoezi ya Kijeshi Yasiyo na Kifani Kuizunguka Taiwan

CHINA imeanza mazoezi makubwa ya Kijeshi ya Baharini na Angani, kuzunguka Kisiwa kinachojitawala cha Taiwan saa chache baada ya Spika...

READ MORE

Zelensky Amuangukia Rais wa China Kutatua Vita Yake na Putin

RAIS wa Ukraine Volodimir Zelensky ameomba kwa mara nyingine kuonana ana kwa ana na Rais wa Jamhuri ya China Xi...

READ MORE

Meridianbet Walifurukuta Kuchuana na Wahamasishaji Wakiongozwa na Jemedari

  Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita.  ...

READ MORE

Uzinduzi wa Ripoti ya Mipango Endelevu ya Kampuni ya Wentworth Gas Ltd

    4 Agosti 2022, Dar es Salaam. Kampuni ya Wentworth Gas Ltd leo imezindua Ripoti yake ya Mipango Endelevu...

READ MORE

Nafasi za Kazi 10 NMB Bank Plc, Management Trainee

Management Trainee (10 Position(s)) Job Location : Head Office, Hq Job Purpose: A future of endless opportunity awaits you…. NMB...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Agosti 4, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-02, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Shule ya Msingi Hazina Yaongoza Mock Darasa la Saba Kinondoni

·     SHULE ya Msingi Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeongoza kwenye matokeo ya mtihani wa utimilifu (Mock), darasa...

READ MORE

Spika Tulia Apongeza NBC kwa Kuinua Sekta ya Kilimo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson ameguswa na kupongeza jitihada za Benki ya Taifa ya...

READ MORE

Huduma za Exim Zawakuna Wadau wa Kilimo Maonesho Nanenane

Huduma zinazotolewa na Benki ya Exim Tanzania kwa wadau wa sekta ya kilimo zimeendelea kuwavutia washiriki wengi wa Maonesho ya...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe Kwa Kumng’oa Kidevu na Kumpiga kwa Kitu Kizito Kichwani

MWANAUME Mmoja Aliejulikana kwa Jina la Edward Francis, (20) mkazi wa kijiji Cha Nyabugela Kata ya Mganza wilayani Chato Mkoani...

READ MORE

Mchungaji Hananja: Tusilaumiane kwa Mambo ya Dini au Kabila

MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Richard Hananja ametoa rai kwa wananchi kutobaguana au kulaumiana kwa...

READ MORE

Jeshi la Burkina Faso Lakiri kuwaua Raia Katika Uvamizi wa Anga

JESHI la Burkina Faso limesema liliwaua Raia kwa bahati mbaya wakati wa Oparesheni ya Kijeshi Kusini Mashariki mwa nchi hiyo...

READ MORE

Yanga Kufungua Pazia la Ligi Kuu ya NBC Dhidi ya Polisi Tanzania, Simba Kuwavaa Geita Gold FC

  MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo leo Agosti 3, 2022 ametangaza rasmi ratiba ya Ligi Kuu ya...

READ MORE