×


Facebook


No Picture

Unending Love, 48

Mapenzi ya dhati aliyonayo Jafet kwa Anna, yanamfanya awe tayari kufanya chochote kumsaidia msichana huyo. Siku zinazidi kusonga mbele huku wawili hao wakizidi kupendana mno….

SOMA ZAIDIMtaani kwetu kimenuka!

      Waswahili siku hizi wana neno lao utasikia ‘kimenuka’, ukisikia hilo ujue mambo yamekaa fyongo, basi hapa mtaani kwetu habari ndiyo hiyo. Uchaguzi…

SOMA ZAIDI

Mshindi wa M-Bet alamba mil.28

Mkurugenzi wa Kampuni ya  M-BET, Dhiresh Kaba (kulia), akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa zaidi ya milioni  28, Robert Mwangasame katika Ukumbi uliopo ndani ya…

SOMA ZAIDI


Hatimaye Pistorious aachiwa huru

Oscar Pistorius akiwa mahakamani. MWANARIADHA mlemavu wa nchini Afrika Kusini Oscar Pistorius ameruhusiwa kuondoka gerezani mwaka mmoja tu baada ya kufungwa jela kwa kosa la…

SOMA ZAIDI
No Picture

Ugonjwa wa kipindupindu

Leo tutachambua ugonjwa wa kipindupindu unaozikumba jamii mbalimbali na kuathiri nchi nyingi za Kiafrika Tanzania ikiwemo. Ugonjwa wa kipindupindu ni tatizo kubwa la kiafya kwa…

SOMA ZAIDI

Siasa mpaka kitandani…! aibu yenu!

HII inaitwa ‘wiki ya lala salama’ kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo ya Oktoba 25. Naamini kila ulimi wa mtu unazungumzia siasa. Iwe kwa mapenzi…

SOMA ZAIDI

Walinzi wakomba bilioni 1.8

Gari lililotumiwa na walinzi wao likiwa limetelekezwa. Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa Taarifa toka vyanzo vyetu makini vya habari vinadai kwamba zaidi ya shilingi bilioni…

SOMA ZAIDI

Familia: Kadi ya benki ya Mtikila imeibwa

Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Na Haruni Sanchawa KUFA kufaana? Tukio la ajali lililosababisha kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha…

SOMA ZAIDI

Kifo cha Filikunjombe, mapya yaibuka

Marehemu Deogratius Haule Filikunjombe ‘Deo’ enzi za uhai wake. Na Waandishi Wetu NI mapya! Ni kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ludewa kwa…

SOMA ZAIDIThe World You Left Behind 23

Matumizi mabaya ya fedha za serikali na ubadhirifu mkubwa unaotokea kwenye Wizara ya Fedha, unasababisha waziri mwenye dhamana katika wizara hiyo, Abbas Magesa kuwa mkali…

SOMA ZAIDI

Bayo Na Imbori – 22

Josephine anazidi kupanga mipango ya kumuua Imbori, ili kuikamilisha azma hiyo anawatafuta vijana wawili kutoka Kundi la Kigaidi la Nato aliowaahidi malipo ya dola za…

SOMA ZAIDI

Mapazia ya chumbani -10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na ana bahati tu nilimpa kidogo, je tungekesha?” Mzuka ulikuwa umempanda. Akili ikamtuma moja kwa moja kuchukua simu yake na kuanza kumchokoza…

SOMA ZAIDI

No Picture

Askofu kuliombea taifa mvua

Kutoka kushoto ni Askofu wa Good News For All Ministry, Charles Gadi, Mchungaji James Manyama na Mchungaji Leonard Leonce Kajuna wa kanisa hilo wakati wakielezea…

SOMA ZAIDIMabilionea wasio na huruma-60

ILIPOISHIA… INSPEKTA Masala amefanikiwa kuwaingiza kwenye mkono wa sheria Dk Viola na nduguye Vanessa ili wahukumiwe kwa mauaji ya kikatili waliyoyafanya wakati wakitafuta fedha kwa…

SOMA ZAIDI