The House of Favourite Newspapers
Browsing Tag

Afya ya uzazi

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta…

Ujue ugonjwa hatari wa wanawake

UGONJWA uitwao Endometriosis ni ugonjwa hatari ambao wanawake wengi hawaujui lakini unasababishwa na tishu zinazotengeneza ukuta wa ndani wa mfuko wa uzazi kukua sehemu ya nje ya mfuko wa uzazi.  Sehemu ya ndani ya ukuta wa mfuko wa…

JIFUNZE NJIA YA KUPATA WATOTO MAPACHA

Uzazi ni suala ambalo kila mtu aliye katika umri wa kuzaa analizungumzia. Mwanaume anaweza kuwa na tatizo la uzazi na mwanamke pia. Watu wawili, mke na mume pia wanaenda kuwa na watoto. Kiu ya kupata watoto mapacha inakuwa kubwa zaidi…

FAHAMU MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

TAFITI kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo kipindi hiki na theluthi iliyobakia huwa na hali ya kawaida kama kabla ya ujauzito.  Kwa…

ZIJUE SIKU UNAZOWEZA KUNASA UJAUZITO!

NIMEAMUA kuandika makala haya ili kujibu maswali ya wasomaji wa safu hii ambao wanahitaji kushika mimba na wameuliza kwa mfano mwezi huu alianza kuona siku zake tarehe 17 Juni, ni zipi siku zake za kushika mimba? Wengine wanauliza je,…