×

Tag: aweso

Mkurugenzi Mtovu wa Nidhamu Amvuruga Aweso Chato, Ampiga Chini – Video

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesikitishwa na tabia ya isiyo njema ya kinidhamu ya ulevi ya Mkurugenzi wa Mamlaka ya...

READ MORE

Ibadilisheni Dawasa Ifanye Kazi Kama Sekta Binafsi – Waziri Aweso

Waziri wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso(Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kubadilisha...

READ MORE

Aweso ashiriki kupitisha Azimio la Mawaziri la Kongamano la 10 la Maji Duniani

  Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) ambalo limepitisha...

READ MORE

Aweso atoa wiki 2 maji yafunguliwe mradi wa Mugango – Kiabakari – Butiama

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo tarehe 27/02/2024 akishiriki ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Milioni 600 Zimepigwa, Aweso Achafukwa, Asweka watu Ndani

Zaidi shilingi milioni 600 zatumika vibaya Wilayani handeni Mkoani Tanga, Fedha hizo zilizotengwa kwa ajali ya kukamilisha mradi wa bwawa...

READ MORE

Silaa Atamani Aweso Apewe PhD

Mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dar es Salaam, Jerry Silaa, amempongeza Waziri wa Maji Jumaa Aweso, kwa utendaji wake...

READ MORE

Aweso Awahamisha Vituo vya Kazi Vigogo Sita Mtwara

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko kwa kuwaondoa watumishi sita katika nyadhifa zao kwa sababu mbalimbali za utendaji uliosababisha...

READ MORE

Aweso: Jamii Ishirikishwe Kutunza na Kulinda Vyanzo vya Maji

WAZIRI wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (MB) amefanya ufunguzi wa jukwaa la wadau wa sekta mtambuka ambalo limewahusisha wadau wakubwa...

READ MORE

Aweso: DAWASA, Hili Lisijirudie Tena!

WAZIRI wa Maji Maji Jumaa Aweso, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa jitihada...

READ MORE

Aweso: Tumekwamua Miradi ya Maji Kichefuchefu 142 Kati ya 177

MBOZI-SONGWE WAZIRI wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Songwe ametoa taarifa maalumu juu ya mageuzi makubwa yaliofanyika katika kukwamua...

READ MORE

Aweso ‘Atumbua Jipu’ Katavu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...

READ MORE

Sakata la Maji! Aweso Apita Mtaa kwa Mtaa

BAADA ya kazi kubwa usiku na mchana kuhakikisha maji ya mto Ruvu yanafika mitamboni na kuepusha Shughuli za binadamu tenki...

READ MORE

Aweso Atinga Dawasa Usiku.. Atoa Maagizo Mazito Kwa Menejimenti

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) usiku wa kuamkia leo Novemba 18, 2021 ametinga kwenye Ofisi za DAWASA kuwekea msisitizo...

READ MORE

Aweso Amgomea Jen. Mwamunyange

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amekataa ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA,...

READ MORE

Aweso: Hatutaki Bili Kichefuchefu Kuumiza Wananchi

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amezitaka Mamlaka za Maji kote nchini kuacha mara moja kuwapa malengo ya makusanyo yasiyo na...

READ MORE

Ticha J; Waziri Anayezidi Kutusua Kisiasa, ni Mtoto wa Mamalishe

JUMAA Hamidu Aweso ni mojawapo ya mawaziri vijana zaidi katika Baraza la Mawaziri lililotangazwa hivi karibuni na Rais John Magufuli....

READ MORE

Mkandarasi Asema Maji Hayatoki Sababu ya Uchawi – Video

  NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amefunguka na kutolea ufafanuzi kuhusu miradi mbalimbali ya maji ambayo inatekelezwa na serikali...

READ MORE

AWESO AWASWEKA NDANI MHANDISI, MKANDARASI, KISA HIKI HAPA! – VIDEO

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso,  ameamuru kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya...

READ MORE

UZEMBE! AWESO ‘AMPITIA’ MHANDISI WA MAJI MULEBA

Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza Jeshi la Polisi kumkamata Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba...

READ MORE