Eva Spiegel; Ukifanya Kama Jamaa, Utakuwa Bilionea
Makala: Nyemo Chilongani
Kwa zamani, dunia ilionekana kuwa kubwa, labda kwa sababu hakukuwa na mitandao mingi, kulikuwa na ugumu wa kupata habari kutoka sehemu nyingine za dunia, yaani kama upo Tanzania, ilikuwa vigumu kupata taarifa…
