MWANAMUZIKI ambaye ni mwanasiasa pia, Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake...