×

Tag: burudani

Siyo kazi rahisi Mondi kununua Ndege

DAR: Hivi karibuni imesambaa video ya ndege mitandaoni aina ya Airbus A 350-1000 ambapo wananzengo wameenda mbali zaidi kwa kusema...

READ MORE

A-Z Harmonize kuzabwa kofi

DAR: Video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ akizabwa kofi na shabiki wake, imekuwa gumzo, IJUMAA...

READ MORE

Uchumba wa Vanessa njia panda

DAR: Baada ya mchumba mpya wa staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V-Money’, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’ kuposti picha ya mwanamke...

READ MORE

Kajala: kwani kuvaa kibukta kuna shida?

MWIGIZAJI mwenye umbo matata Bongo, Kajala Masanja amewashangaa mashabiki wake waliokuwa wakichonga kuhusu kibukta alichovaa, amesema kwani kuna shida gani...

READ MORE

Morani aipeleka bongo fleva marekani

Kijana wa Kimasai, Emanuel Melubo maarufu kwa jina la Morani anayefanya kazi ya muziki hapa nchini na Marekani leo amezindua...

READ MORE

Imevuja! ‘Nandy Ametupiwa Jini’

DUNIA ina mambo mengi sana! Unaweza kusema hivyo kutokana na aliyoyasema Mchungaji wa Kanisa la The World of Reconciliation Ministries...

READ MORE

Ndoa ya Maya yamzulia balaa Johari

DAR Mwigizaji Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunga ndoa, lakini kwa upande mwingine, ndoa hiyo imemzulia balaa mwigizaji mwenzake wa filamu za...

READ MORE

Video: Yanga Wamrudisha Jerry Muro, Atoa ‘Password’ kwa Mashabiki

    UONGOZI wa Klabu ya Yanga, leo Februari 25, 2020 umezungumza na wanahabari baada ya timu hiyo kutoka  sare...

READ MORE

 Shetta afunguka Mondi kumpora mama Qayllah

SHETTA ndilo jina linalompa ugali wa kila siku. Lakini Nurdin Bilal ndilo analotumia kwenye kitambulisho cha Nida, hati ya kusafiria,...

READ MORE

Ndoa ya kiba yafufukia kwa dada’ke!

DAR: Unakumbuka lile sakata la kuvunjika kwa ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ na mkewe,...

READ MORE

MONDI, TANASHA WAWEKA REKODI MPYA

 STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna,...

READ MORE

UWOYA: SIPENDI KUOGA, NAPENDA SANA POMBE!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya My Style! Kama ilivyo kawaida, huwa tunakuletea mastaa wakubwa hapa Bongo...

READ MORE

TEMBO WA HARMO AZUA BALAA

VITA ya panzi majani ndiyo yanayoumia! Unaweza kutumia msemo huu kutokana na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul...

READ MORE

Mzigo wa shamsa umesakwa balaa!

WABONGO sasa hivi akili zao wanazijua wenyewe! Unaambiwa wewe waambie tu kuna ‘mzigo’ wa staa fulani, watautafuta kwelikweli ili wawe...

READ MORE

Harmo asakwa kwa deni la mamilioni

DAR: Mambo si mambo kwa mkali wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, inadaiwa kuwa kuna jamaa wanamsaka kwa...

READ MORE

Mamilioni Ya Kanumba Yazua Tafrani Tena – Video

NGOMA nzito! Ndivyo unavyoweza kutamka kutokana na mamilioni ya aliyekuwa staa wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba kuzua tafrani tena...

READ MORE

CHUCHU: Mimba 6 za Ray ziliharibika

DAR: Mwanamama mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kuwa, kabla hajampata mtoto wake, Jaden Vincent na mwigizaji mwenzake,...

READ MORE

Mdogo wa Jose Chameleone, Anusurika Kifo Sauz

PALLASO ambay ni ndugu wa msanii wa muziki  nchini Uganda, Jose Chameleone, ameshambuliwa na kuumizwa nchini Afrika Kusini  katika shambulio...

READ MORE

Bonga Aachana na Harmonize, Atimkia Lykos Empire – Video

Prodyuza wa Harmonize almaarufu kwa jina la Bonga leo ametangaza rasmi kuachana na msanii huyo na kujiunga lebo ya Lykos...

READ MORE

Maskini wema !

KILA kukicha hali ya staa wa Bongo Muvi inazidi kubadilika kutokana na kuzidi kukondeana jambo ambalo linazidi kuwashtua wengi na...

READ MORE

Uwoya: Msami anapenda tu kampani yangu

BAADA ya hivi karibuni mwanamuziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami kueleza kuwa hawajawahi kuachana kimapenzi, msanii wa Bongo Muvi, Irene...

READ MORE

Mjengo wamuumbua Mke wa Rayvanny

AMEUMBUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mjengo ambao mke wa msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahima Msenga ‘Fahyvanny’...

READ MORE

Tiffah, Nillan kumponza Mondi

WATOTO wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ (4) na mdogo wake, Nillan Nasibu...

READ MORE

Nandy aonesha jeuri ya fedha

MWENYE nacho ataongezewa! Ndivyo msanii Bongo wa Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ (26), anavyozidi kuonesha jeuri ya fedha.  Usikumbuke mjengo...

READ MORE

Tahiya: Hamisa hawezi kuwa mke mwenzangu

MREMBO wa mjini, Tahiya John amemvaa kwa mara nyingine mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto na kusema kuwa...

READ MORE

TECNO ilivyosherehekea Siku ya Wapendanao na wateja wake

Katika kusherehekea siku ya Wapendanao, kampuni ya simu za mkononi TECNO ilisherehekea siku hii maarufu ya Valentine na wateja wake...

READ MORE

TECNO Yafungua Duka Kubwa la Kisasa Arusha

Kampuni ya simu za mkononi TECNO imezindua duka kubwa la simu, maarufu ‘Smarthub’ jijini Arusha ambalo linatoa huduma mbalimbali. Akizungumza...

READ MORE

Mobeto: Mniache sina mwanaume

MWANAMAMA anayebeba ‘taito’ tatu kwa mpigo ya uigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo, Hamisa Mobeto amesema hana mwanaume na hahitaji usumbufu.  Akizungumza...

READ MORE

Ukweli Harmo kumtema Sarah

HABARI inayofukuta huko mitandaoni zinadai kwamba mkali wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ au Harmo amemwagana na mkewe Sarah, lakini...

READ MORE

Mama Godzilla: wasanii wamenitenga

MAMA wa aliyekuwa msanii wa miondoko ya Hip Hop Bongo, marehemu Golden Mbunda ‘Godzilla’, Marry Challe amefunguka kuwa, wasanii wengi...

READ MORE

Ndoa ya muna yazua utata

BAADA ya hivi karibuni habari kuzagaa kuwa msanii wa filamu ambaye alikuwa mlokole, Rose Alphonce ‘Muna’ amebadili dini na kuolewa...

READ MORE

Kidoa afungukia ujauzito

BAADA ya kudaiwa ni mjamzito kwa sasa, mwanadada Asha Salum ‘Kidoa’ ambaye alijipatia umaarufu kupitia uvideo queen na sasa amegeukia...

READ MORE

Miaka 2 baada ya kuachana…Zari aanza vita mpya na Mondi

  PASI na shaka, mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss...

READ MORE

Davina: Shilole ni mwanamke na nusu

MSANII wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa anamkubali sana msanii mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa sababu ni mtu...

READ MORE

Ray C ajitoa ufahamu ughaibuni

WAKATI Bongo watu wakimisi picha za utupu za mastaa kutokana na sheria ya makosa ya mtandao kung’ata wengi, Rehema Chalamila...

READ MORE

 NICKI MINAJ MATATANI

MWANADADA anayetikisa vyema katika gemu la Hip Hop kutoka pande za Marekani, Onika Tanya Maraj-Petty maarufu kama Nicki Minaj, amejikuta...

READ MORE

Stara: Kilimo kinalipa kuliko muziki

UWAZI limemtafuta msanii wa Bongo Fleva ambaye amewahi kutamba katika anga la muziki wa kizazi kipya miaka ya 2000. Huyu...

READ MORE

Tanasha: Mondi ataniua

MZAZI mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, Tanasha Donna amefunguka mambo mengi likiwemo jambo...

READ MORE

Siku 150 nje ya Wasafi , Anguko lamtesa Harmo

DAR: Ikiwa ni takriban siku 150 tangu mwanamuziki anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’...

READ MORE

Aunt afunguka skendo ya fumanizi

HABARI kubwa wikiendi iliyopita ni skendo ya fumanizi matata lililofanywa na staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.  Kwa mujibu...

READ MORE