×

Tag: burudani

#GlobalCelebrityUpdates: Wiz Khalifa , Amber Rose Na Sebastian Wala Good Time Kama Familia – (Pichaz)

Stori inayotrend wiki hii kwenye picha za #GlobalCelebrityUpdates ni hii ya Amber Rose na Wiz Khalifa kujumuika kwa pamoja kama familia,...

READ MORE

New: Yemi Alade x Mi Casa: “Get Through This” – (Video)

Music diva kutoka Nigeria, Yemi Alade anarudi kuziteka playlists za mwaka 2017 kwa ushirikiano na kundi la muziki, Mi Casa wakali kutoka...

READ MORE

EFM Redio Yaacha Historia Mpya Temeke

Jukwaa la mchizi wangu mwaka 2017 lililoleta historia   Ilikua ni furaha na shangwe kwa wakazi wa Jiji la Dar...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Zicheki Picha Za Mrembo Jokate Na Mastaa Mbalimbali Wa Marekani

Moja kati ya issue zinazotrend mitandaoni asubuhi hii ni Jokate kuonekana pichani na wakali wa muziki kutoka Marekani, Jay Z,...

READ MORE

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Love Melodies and Lights Event, Leaders Club

Global TV Online inakuletea moja kwa moja maonesho ya shoo ya #LoveMelodiesAndLightsEvent inayofanyika kwenye Uwanja wa Leaders Club, Kinondoni jijini...

READ MORE

Je Unakubali? Cassper Nyovest Asema Hakuna Rapa Mkali Zaidi Yake Barani Africa

Nikisema niwaulize wadau wa muziki wa Hip Hop kuwa kati ya AKA na Casper Nyovest nani mkali zaidi, tutabishana sana...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: SONY Music: “Mwaka Huu Wizkid Ni Kipaumbele Chetu Cha Kwanza!”

Kama shabiki mkubwa wa Wizkid naomba niseme hii celebrity update ni NOMA SANAA! Ni nadra sana kukuta msanii wa Afrika...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Rapa Wa South Africa AKA na Mpenzi Wake Bonang Waachana!

Rapa kutoka South Africa AKA ametangza kuachana na mpenzi wake ambaye pia ni mtangazaji maarufu nchini South Africa, Bonang Matheba...

READ MORE

Global Updates: Hatimaye Alikiba Akabidhiwa Tuzo Yake Ya MTV EMA: Best African Act 2016

Kwa wale mashabiki wa King Kiba Alikba, good news ikufikie kuwa hatimaye Alikiba amekabidhiwa ile tuzo yake ya MTV EMA:...

READ MORE

Harmo Rapa Kuachia Kichupa Kipya Soon, Yapo Pia Ya Kufahamu Kuhusu Ile Gari Na Zile Pesa – (Tweets)

Leo kwenye exclusive interview za Global TV Online, tulitembelewa na Harmo Rapa msanii chipukizi anaekuja kwa upepo mkali sana. Kwenye...

READ MORE

MAREKANI: Queen Latifah Kutunukiwa Tuzo Ya Heshima

Msanii, mwigizaji, TV na movie Producer kutoka Marekani Queen Latifah ni miongoni mwa mastaa watakaotunukiwa tuzo ya heshima za The...

READ MORE

VIDE:O: Shilawadu Kuja na Project ya Viatu

WAANDAAJI wa kipindi cha Shilawadu cha Clouds TV, Soud Brown na Qwissa wameanika mikakati wanaotarajia kuifanya hivi karibuni ikiwa ni...

READ MORE

Bongo Movie: Irene Uwoya Kujikita Kwenye Tamthilia, Bongo Movie Je? – (Video)

Staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya siku ya jana Februari 14, aliandaa party kubwa Club Next Door, Masaki kusherekea siku...

READ MORE

Q Chief: “Valentine Ya Mwaka Huu Niliamua Kujifunza Kutoka Kwa Wenzangu…”- (Video).

  Msanii wa Bongo Fleva Q Chief usiku wa jana alikuwa miongoni mwa mastaa waliohudhuria Valentine’s Day Special Party ya msanii...

READ MORE

Bongo Fleva: Quick Rocka Kuachia Wimbo Na ‘Mimi Mars’ – Mdogo Wake Vanessa Mdee!

Mara ya mwisho kumsikia Quick Rocka kwenye anga za burudani ilikuwa kwenye ngoma yake ya mwisho ya Mwendokasi, wimbo aliyomshirikisha rappa mwengine...

READ MORE

MPYA: DJ Khaled Feat. Beyonce & Jay Z – Shining (Audio)

Kama wewe ni shabiki wa ngoma za Hip Hop basi hii inakuhusu moja kwa moja. Mpya ya leo inatoka kwa DJ,...

READ MORE

Twanga, Papii, Babu Seya Kutumbuiza Tamasha La Wafungwa Leo

Wanamuziki wakongwe wanaotumikia kifungo cha maisha ndani ya Gereza la Ukonga, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’....

READ MORE