Tanzia: Dkt. Makongoro Mahanga Afariki Dunia
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini Dar es Salaam, Dkt. Milton Makongoro Mahanga, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Machi 23, 2020 katika Hospitali ya Taifa…
