CHIKOKA AFUNGUKIA MAANDAMANO!
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Juma Chikoka, amesema kuna tatizo kubwa la uelewa wa Watanzania katika suala zima la matumizi ya mitandao ya kijamii hali inayowasababisha wengine wafuate mkumbo wa maandamano yasiyokuwa na tija.…
