Chuchu, Ray Kimenuka!
DAR ES SALAAM: MSANII wa filamu nchini Chuchu Hans, amezinguana na mzazi mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ huku chanzo kikidaiwa ni usaliti.
Inasemekana kuwa, mkongwe huyo kwenye fani ya uigizaji, amemsaliti Chuchu kwa video…
