MAFUNZO YA WAANDISHI HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO
MAFUNZO ya waandishi wa habari yaliyoanza jana Mjini Morogoro yameendelea leo katika Ukumbi wa Magadu mkoani Morogoro. Mafunzo hayo yanahusu namna ya utoaji wa Habari za Kimahakama kwa waandishi wa habari juu ya…
