Zitto: Nimeachiwa Huru, Naisubiri Serikali Mahakamani – Video
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa kwa dhamana leo Jumanne jioni baada ya kushikiliwa na polisi tangu alfajiri akihojiwa jijini Dar es Salaam.
Baada ya kuhojiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe mkoani…
