Bocco: Nipo Simba, Nitaifunga Yanga SC
Ibrahim Mussa, Dar es Salaam, Championi Jumatano, Habari
UONGOZI wa Simba, jana umetangaza rasmi kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Azam, John Bocco baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na suala hilo. Mara baada ya zoezi hilo,…
