Rapa kutoka nchini Marekani, Fatman Scoop amefariki dunia baada ya kudondoka jukwaani akiwa anapafomu, tukio lililotokea Connecticut, Marekani Ijumaa usiku....