GSM Awapa Mastaa Yanga Bonasi 700 Mil Baada ya Kubeba Kombe la Shirikisho
IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kupewa Sh 700Mil kutoka kwa mdhamini wao GSM kama bonasi baada ya juzi kubeba Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).
Yanga wamefanikiwa kubeba kombe hilo juzi kwa…
