×

Tag: Instagram

Mwalimu Afutwa Kazi Baada Ya Kushiriki Picha Mtandaoni Akiwa na Nguo za Kuogelea

HASIRA inaonekana kuunganisha jumuiya ya walimu huko Kolkata siku hizi, huku mitandao ya kijamii ikitawaliwa na madai ya kuchukuliwa hatua...

READ MORE

Instagram Sasa Itabidi Ulipie Ili Kuona Maudhui

Mtandao maarufu duniani wa Instagram sasa unafanya majaribio ya maboresho ambapo mtumiaji wa mtandao huo sasa ataweza ku-Subscribe na kulipia...

READ MORE

Instagram Yafanya Maboresho Mapya

MTANDAO maarufu wa Instagram umefanya maboresho mapya ambapo watumiaji wa mtandao huo ambapo kwa sawa watakuwa na uwezo wa ku-post,...

READ MORE

Huduma za Facebook, Instagram na WhatsApp Zarejea

HUDUMA za mitandao ya kijamii ya Facebook, WhatsApp na Instagram zimerejea tena kwa watumiaji wake kama kawaida baada ya kukatika...

READ MORE

Tanzania Kuzitoza Kodi Facebook, Twitter, Instagram & Apple

SERIKALI ya Tanzania imesema inatarajia kuanza kuyatoza kodi makampuni ya Google, Facebook, Instagram, Twitter, Apple na yote yanayoendesha huduma za...

READ MORE

Naibu Waziri Kuanza na WhatsApp, Instagram

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Andrea Kundo amesema Wizara yake itaacha kukumbatia teknolojia za nje na badala...

READ MORE

Facebook Yadaiwa Kuwafuatilia Watumiaji Instagram kwa Kamera za Simu

KAMPUNI  ya Facebook imeshitakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya...

READ MORE

Instagram, Facebook na WhatsApp Zakumbwa na Tatizo Dunia Nzima

MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya...

READ MORE

UJUE MPANGO KUUNGANA KWA WHATSAPP, FACEBOOK & INSTAGRAM

  FACEBOOK ina mipango ya kuunganisha huduma zake za kutuma ujumbe katika Instagram, WhatsApp na Facebook Messenger.   Licha ya...

READ MORE

TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA INSTAGRAM – (PICHA)

MTANDAO wa Instagram jana Novemba 20 umetoa onyo kwa watumiaji wa mtandao huo ambao wanatumia Apps za kupata likes na...

READ MORE

Waanzilishi wa Instagram Wajiondoa

WAANZILISHI wa mtandao wa Instagram wametangaza wiki chache zijazo watajiondoa kabisa kujishughulisha na kampuni hiyo na kubaki kama watumiaji wengine...

READ MORE

Gomez Avunja Rekodi ya Beyonce Katika Instagram kwa Picha Yake

MWIMBAJI na mwigizaji wa Marekani, Selena Gomez, alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake juzi (Jumatatu) kwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na...

READ MORE

PUTIN ASEMA: SIJAWAHI KUWA NA ‘SMARTPHONE’

“SINA simu ya smartphone,” ndivyo ambavyo husema Rais wa Russia, Vladimir Putin, kila anapoulizwa iwapo ana simu hizo za kisasa....

READ MORE

MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?

  MWAKA 2007, kijana Ali Salehe Kiba alitikisa kwa mara ya kwanza nafsi za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya....

READ MORE

JENNIFER WA KANUMBA ACHAFUKA MITANDAONI

MTOTO ‘mtukutu’ aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia filamu za marehemu Kanumba, Hanifa Daudi amekumbwa na kashfa ya kitapeli, kufuatia watu wasiojulikana...

READ MORE

#GlobalUpdates: Kwa Wale Wanaopenda Kujiachia, Instagram Kuanza Kuficha Picha Na Videos Za Utupu! – (Pichaz)

Instagram wanazidi kuboresha matumizi ya App yao ikiwa ni sehemu ya ahadi waliyoitoa September mwaka jana kuifanya App hiyo ‘sehemu...

READ MORE

#Trending: Kwa Ahadi Ya 45,000/= Tzs, Alichokifanya Meek Mill Kwa Huyu Ombaomba Kitakufurahisha… (Video)

Maisha ni kupambana mdau, hakuna vitu vya bure siku hizi na hiyo sio kwa sisi wabongo tu bali hata kwa...

READ MORE

#GlobalUpdates: Instagram Kuruhusu Posts Za Picha, Videos Mpaka 10 Kwa Wakati Mmoja!

Kwa wale watu wangu ambao hupata wakati mgumu kuchagua picha ama video gani ya kupost Instagram, usijali Instagram wana solution...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Kiki Ama Nini? AKA na Bonang Matheba Watangaza Kurudiana!

Siku tatu baada ya kutangaza kuachana na mpenzi wake, rapa kutoka South Africa AKA na  Bonang Matheba warudiana. AKA na...

READ MORE

Wema Sepetu: “Napenda Kuwashukuru Kwa Kuniamini Na Kusimama Na Mimi…”

Wema Sepetu anazidi kuzimiliki headlines za mitandao kinamna yake. Ukitembelea ukurasa wa Instagram wa staa huyo utakutana na ujumbe mrefu...

READ MORE

Wema Azaliwa Upya Mtandaoni

Malkia wa mtandao mwenye nguvu ya watu wasiopungua milioni mbili na nusu nchini Tanzania, Wema Abraham Sepetu, mwaka 2017 ameuanza...

READ MORE

Watumiaji Instagram wasaidia wagonjwa Ocean Road

Mmiliki wa Twaiba Classic Centre akitoa michango kwa baadhi ya wagonjwa. Wana-Instagram wakiwa katika picha ya pamoja nje ya Hospitali...

READ MORE