Isha Mashauzi: Wasanii Wengi Hawaijui Thamani Yao
MKALI muziki wa Taarab Bongo, Isha Ramadhani maarufu kama Isha Mashauzi amefunguka kuwa wasanii wengi nchini hawajui thamani yao mbele ya mashabiki.
Akipiga stori na Jahazi la Pwani kinachorushwa kila Jumapili, saa 10 mpaka 12…
