Rais wa Zamani wa Brazil Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji wa Fedha
Polisi wa serikali kuu ya Brazil wamemfungulia mashtaka Rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa utakatishaji wa fedha na ushirika wa uhalifu kuhusiana na almasi ambazo hazikutangazwa.
Kiongozi huyo wa mrengo mkali wa kulia…
