The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

jide

Jide Naye Kupumzika Muziki

MWANAMUZIKI mkongwe kunako tasnia ya muziki wa Afro-Pop, Lady Jaydee au Jide anasema kuwa, anafikiria kupumzika muziki huo hadi mwaka 2024. Utakumbuka Februari 12, mwaka huu, Jide alizindua albam yake mpya ya nane tangu aanze muziki…

Jide Amekuwa Mlezi wa Wana!

JUDITH Wambura Mbibo almaarufu Lady Jaydee au Jide, ni mwanamuziki mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva. Kipaji chake kiligundulika akiwa na umri wa miaka saba tu! Ni Binti Komando anayestahili kupewa sifa ya kuwa Malkia wa Nguvu.…

Jide: Zuchu Atafika Mbali!

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ amesema kuwa msanii na memba mpya wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Zuhura Othman ‘Zuchu’, atafika mbali kutokana na juhudi zake. …

Gadner, Jide Mambo Ni Moto

AMKENI amkeni kumekucha, unaambiwa ile kapo mashuhuri Bongo ya Mtangazaji Gadner G. Habash na Malkia wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’, imeamka upya na kuzua gumzo kama lote! Wawili hawa kabla ya kumwagana miaka kadhaa…

Jide; Tajiri wa Kolabo Bongo!

UNAPOZUNGUMZIA wasanii waliofanya kolabo nyingi ndani na nje ya Bongo, kamwe huwezi kuliweka pembeni jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ukipenda unaweza kumuita Jide. Mwanamke huyu wa shoka kutokana na uwezo wake,…

JIDE, MAI MARTHA WACHONGANISHWA

MWANA­MUZIKI Judith Wambu­ra ‘Jide’ na mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ juzikati walichongan­ishwa baada ya mashabiki kudai kuwa, eti Mai ni mnafiki kwa kuwa kipindi cha msiba wa bosi wa Clouds, Ruge Mutahaba alimnanga mwen­ziye kwa…

JIDE YAMKUTA YA GIGY MONEY

DAR ES SALAAM: BAADA ya kutupia picha zake tata mtandaoni, mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ yamemkuta majanga yaliyowahi kumkuta msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ ya kuchongewa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata). Jide…

GARDNER AFUNGUKA KURUDIANA NA JIDE

SIKU zote kuna usemi usemao penzi la kweli halifi! Hivyo ndivyo inavyoonekana kwa ‘maselebriti’ wawili wa Bongo, Mtangazaji wa Radio Clouds FM, Gardner G. Habbash ‘Kapteini’ na mwanamuziki mahiri wa kike wa Bongo Fleva, Judith Wambura…

Lady Jaydee Ataka Kujiua

MASHABIKI wamekuwa na maswali mengi ni kitu gani anapitia Lady Jaydee kwa sasa kwenye maisha yake baada ya kuandika ujumbe akieleza jinsi alivyotaka kukatisha uhai wake ghafla. Kupitia mtandao wa twitter ameandika;' "Jana nilihisi…

FA, JIDE KUWEKA HESHIMA JUKWAA MOJA

BAADA ya kutofautiana kwa takribani miaka mitano, wakongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ pamoja na Hamis Mwinjuma ‘MwanaFA’ wanatarajia kukutana jukwaa moja, Jumamosi hii (Machi 31) ndani ya Ukumbi wa Golden…

Jide Na Ishu ya Kuishi Nigeria

MEI 20, mwaka jana ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, nilibahatika kuwa miongoni mwa waalikwa katika tamasha kubwa la muziki lililotambulika kama Naamka Tena lililoandaliwa na mwanamuziki mkongwe wa kike wa Bongo Fleva nchini,…

Jide Ataka Kulinda Heshima

STORI: Na Andrew Carlos | RISASI JUMATANO| Risasi Vives MKONGWE wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, amesema uzinduzi wa albamu yake ya saba unalenga katika kulinda heshima yake katika sanaa alikodumu…

A-Z Shoo ya Jide Mlimani City

Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee na bendi yake wakikamua katika shoo yake ya Naamka Tena Concert iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar usiku wa kuamkia leo. Jide akizidi kukamua Burudani mwanzo mwishoWema Sepetu na mashabiki…