Kombe la Dunia 2022: Samuel Eto’o Amshambulia Mtu Qatar Baada ya Mechi
Tukio hilo lilitokea nje ya Uwanja wa 974 huko Doha baada ya mechi ya Jumatatu ya hatua ya 16 bora kati ya Brazil na Korea Kusini, ambayo Brazil 4-1.
Eto'o, ambaye sasa ni rais wa shirikisho la soka nchini mwake (Fecafoot), alipiga…
