Uhaba wa Wanafunzi, Kondoo Waandikishwa Shule
Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewashangaza watu ulimwenguni baada ya kuwaandikisha shule kondoo wake 15 ili kukamilisha idadi ya wanafunzi inayotakiwa na mamlaka za kijiji kimoja nchini humo.
Ripoti zinasema kuwa, mkulima…
