Wanaswa Wakiiba Simu Game ya Simba na Mwadui
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashilikilia wanaume watatu kwa tuhuma za wizi wa simu za mkononi wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Mwadui Fc na Simba Sc ikiendelea katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga.…
