Msimu Mpya, Vibe Jipya Ndani Ya EPL Na Laliga Wikiendi Hii
Baada ya kukaa miezi 3 bila soka la vilabu barani Ulaya, hatimaye Agosti 13,2021 imefika na viwanja vyote kuanza kurindima kwa takribani miezi 8 ya msimu mpya wa soka 2021/22. VAR, vyenga vya kila aina, vita vya maneno ndani na nje ya…
