Wanafunzi Walionusurika Ajali ya Lucky Vincent wafanya maajabu kidato cha IV
WANAFUNZI watatu walionusurika kwenye ajali ya Shule ya Lucky Vincent, wamefanya maajabu katika mtihani wa kidato cha nne na kufaulu vizuri kwenye masomo ya sayansi.
Wanafunzi hao ni Doreen Elibariki ambaye amepata daraja la pili,…
