The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Luis Miquissone

Chama, Luis Wamtesa Gomes

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba imeelezwa kuwa anapata tabu kupanga kikosi cha timu hiyo kwa sasa bila ya uwepo wa viungo wake wawili, Clatous Chama na Luis Miquissone. Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimeliambia…

Miquisone Afanyiwa Kufuru Misri

HABARI ikufikie kwamba, Klabu ya Al Ahly ya Misri, itakuwa inamlipa Luis Miquissone mshahara wa kufuru ambao unatajwa kuwa ni takribani mara nane aliokuwa akipewa ndani ya Simba. Miquisone ambaye alijiunga na Simba, Januari 2020,…

Wachina Wamuwekea Luis Bil 4.6

WAKATI Al Ahly ikionekana kama kumpotezea kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone raia wa Msumbiji, inaelezwa timu ya Changchun Yatai FC ya nchini China, imeweka mezani kitita cha dola milioni mbili (zaidi ya Sh 4.6Bil za…

Miquissone Aondolewa Simba

MENEJA wa klabu ya Simba, Abbas Ally, amesema kuwa kiungo wa timu hiyo, Luis Miquissone, ameondolewa kikosini na kuwekwa chini ya uangalizi wa madaktari kutokana na kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya FC Platinum…