×

Tag: maajabu

Pikipiki ya Maajabu: Ukijaribu Kuiba Unakufa, Ina Mwaka Barabarani – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka Magomeni jijini Dar, kushuhudia pikipiki inayohusishwa na Ushirikina ambayo imewekwa kituo cha daladala kwa zaidi...

READ MORE

Moto wa Ajabu Wailaza Nje Familia

Familia mmoja Manispaa ya Musoma Mkoani Mara imelazimika kulala nje kutokana na nyumba waliyokuwa wanaishi kuwaka moto wa ajabu ambao...

READ MORE

Mtoto Mwingine Mwenye Maajabu Atikisa, Anatibu kwa Maji na Duaa – Video

Wakati gumzo la mtoto Eunice Atieno mwenye umri wa miaka miwili na nusu, mkazi wa Kijiji cha Bukama, Rorya mkoani...

READ MORE

Mama Aliyetumia Jina la Mwanae Kukopa Mil 100, ‘Afikishwa’ kwa JPM – Video

  Katika kipindi cha Katambuga, cha +255 Global Radio, kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Mohamed Seif, maarufu kwa jina...

READ MORE

Mti wa Maajabu, Ukiupanda Mtu Anakufa, Mke Hazai – Shehe Aanika – Video

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Mti unaoitwa ‘Germany Tree’ unaofahamika zaidi kwa jina la Mti Chonganishi, ni aina ya...

READ MORE

ALIYEDAIWA KUUAWA NA MUMEWE AZIKWA NA SANDA NYEUSI

MAAJABU! Sintofahamu imeibuka kwa wakazi wa Mtaa wa Pombo-Madale, nje kidogo ya Jiji la Dar katika mazishi ya marehemu Rose...

READ MORE

MAAJABU! Huyu Ndo Ng’ombe Mkubwa Kuwahi Kutokea

NAFAHAMU umewahi kuona ng’ombe wengi lakini wengi wetu hatujawahi kumuona ng’ombe mkubwa duniani na hata kama tumemuona basi naamini tutakuwa...

READ MORE

MAMBO 5 YA AJABU BINADAMU ANAWEZA KUYAFANYA (PICHA)

Kwa baadhi ya imani za walio wengi wanaamini kwamba kila binadamu yupo sawa lakini kuna wengine wanapinga jambo hilo.  ...

READ MORE

NJEMBA AIBUKA SIKU YA MSIBA WAKE

SHINYANGA: Luhaga Madango (28) ambaye ni mkazi wa Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, amejikuta akiwekewa msiba nyumbani kwao huku...

READ MORE

Samaki Wawekewa Macho Bandia Kuonyesha Wako ‘Fresh’

Jicho la bandia likiwa limewekwa kwenye samaki. DUKA moja la samaki nchini Kuwait limeguduliwa kuwawekea samaki macho ya bandia, yaliyotengeezwa...

READ MORE

AINA 8 ZA NYOKA WAKUBWA ZAIDI DUNIANI

1. Anaconda wa Kijani (Green Anaconda) — Green anaconda ni nyoka mkubwa zaidi duniani anayeweza kufikia kati ya mita 6...

READ MORE

Yafahamu Maajabu Matano Katika Mwili wa Binadamu

 Nywele nyekundu Watu wenye nywele nyekundu duniani (watu weupe, Wazungu) ni wachache sana,wako chini ya asilimia mbili. Hivyo wana haki...

READ MORE

MKE AGAWA MTOTO KWA BABA WAWILI!

  DAR ES SALAAM: Wanaume kaeni chonjo! Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja ambaye ni mke wa mtu aliyejulikana kwa...

READ MORE

EXCLUSIVE: KIZAAZAA MSIKITINI, IMAMU APOTEA KIMAAJABU, WAUMINI WATIMKA

KIZAAZAA cha aina yake kimeukumba msikiti wa Tawba uliopo Makongo Juu jijini Dar baada ya Imamu wa msikiti huo, anayefahamika kwa...

READ MORE

KALI YA MWAKA! Jamaa Avaa Mikanda Sita, Suruali 1 Kwa Miaka 5 – (Video)

KALI YA MWAKA! Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kijana mmoja mkazi wa Mbagala aliyefahamika kwa jina la Samiru a.k.a...

READ MORE

Huyu Ndiye Mwanamme Mwenye Nywele Nyingi Zaidi Duniani

Mtandao wa World Ranking umemtaja Yu Zhenhuan wa China kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani. Mwili wa Yu...

READ MORE

Samaki wa Maajabu Azua Taharuki Mbezi Beach, Dar -(Video)

MAAJABU! Samaki mkubwa aina ya Chongoe ambaye ni jamii ya nyangumi, hivi karibuni alionekana kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi,...

READ MORE

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (13)

  ILIPOISHIA “Unamfahamu mzee mmoja anaitwa Samike? Ana nywele nyeupe, nyus…” kabla sijamaliza kuzungumza, kijana alibadilika na kuwa yule mtu...

READ MORE

Shuhudia LIVE Mti wa Maajabu Unaotoa ‘Damu’, Upo Hapa Hapa Bongo!

KAMA ada yetu, jukumu kubwa la GLOBAL TV Online ni kukusogezea matukio yote muhimu ambayo wewe mdau wetu una kiu...

READ MORE

VIDEO: Tazama Maajabu ya Maji Kupandisha Mlima Eneo la Kijungu- Rungwe

Maajabu! Inafahamika kwamba maji hayapandi mlima lakini je, unaweza kuamini kwamba maji eneo la Kijungu, Rungwe mkoani Mbeya maji yanapandisha...

READ MORE

VIDEO: Baba wa Watoto Waliozaliwa Wameungana Aomba Msaada

  BABA wa watoto waliozaliwa mwishoni mwa wiki iliyopita wakiwa wameungana miili yao katika Hospitali ya Misheni ya Berege, wilayani...

READ MORE

Asali Yenye Miaka 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi

MAPIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006,...

READ MORE

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa...

READ MORE

Babu wa Darasa la Kwanza Ashangaza Wengi

MARA: KIKONGWE Nyamohanga Suguta (75) wa Kitongoji cha Kibeyo, Kijiji cha Getenga Kata ya Mbogi wilayani Tarime mkoani hapa, ameshangaza...

READ MORE

Mzee Aliyekula Nyama za Watu, Amtaja Mnyama Anayefananaa Ladha Yake na Nyama Hiyo

Na ELVAN STAMBULI| GAZETI LA UWAZI| MAKALA Waandishi wa habari wa Uingereza waliokuwa jasiri walitembelea kisiwa hicho mwaka juzi na...

READ MORE

Mzungu Aliyenusurika Kupikwa Supu Asimulia Mazito, Kabila la Wala Watu-7

TUNAENDELEA kuwasimulia habari ya kweli kuhusu makabila ya jamii moja katika nchi ya Papua New Guinea inavyokula watu; endelea. Kabla...

READ MORE

Bonge la Mtu Lenye ‘Maguvu’ na Mlo wa Kutisha

  Hayat alivyo. KWA kawaida, vibonge wengi, yaani watu wenye miili mikubwa hasa wanene, huchukuliwa kama watu wasio na nguvu...

READ MORE