NEC Yatangaza Kampuni Inayochapicha Karatasi za Kupigia Kura 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa kumpata mzabuni wa uchapishaji wa karatasi za kupigia kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
…
