×

Tag: Maisha Basement

The LiFe Club ‘Maisha Basement’ Kuzinduliwa Usiku wa Leo Ijumaa Dar

Klabu maarufu ya burudani ya The Life Club  ‘Maisha Basement’ leo Ijumaa usiku inazinduliwa upya kwenye makao yake mapya yaliyohamishiwa...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi Ya Robert Mshale

Mwili wa marehemu Robert Mshale utafikishwa  nyumbani kwa mama yake karibu na geti la kuingilia Chuo cha Aridhi jijini Dar...

READ MORE

TANZIA: KLABU YA MAISHA BASEMENT WAPATA MSIBA MZITO

UONGOZI wa E-Master Entertainment unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi  wa0 aliyekuwa Meneja wa Matukio katika klabu ya Maisha Basement, Robert...

READ MORE

Pichaz: Maisha Basement Wafuturisha Dar

IKIWA ni mwezi mtukufu wa toba kwa waumini wa Dini ya Kiislam ambao kwa sasa wapo kwenye mfungo duniani kote,...

READ MORE

Top 10 Ya Nyimbo Zinazokimbiza Maisha Basement, Kuchezwa Live leo Maisha Zote

1. Lameck Ditto – Moyo Sukuma damu 2. Darassa ft Ben Pol – Muziki 3. Mwana Fa Ft Vanessa Mdee...

READ MORE

Mastaa Walivyofunika Usiku Wa Mastaa Maisha Basement

Staa wa Bongo Fleva, Pam D (wa pili kutoka kulia) akiwa na Meneja wa masoko wa Maisha Basement, Geoffrey Jilla...

READ MORE

Video: Dvj Ally B Kuwazawadia Mashabiki Wake Mixtape J’pili Hii

DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally B. Na Mwandishi Wetu DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally...

READ MORE

Warembo wajiachia na Ben Pol Red Carpet Basement

Mrembo ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto akiwa na mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol usiku wa kuamkia leo Maisha Basement...

READ MORE

Top 10 ya Maisha Basement wiki hii

1.Bill Nass- Chafu Pozi 2.Raymond – Natafuta Kiki 3.Darasa ft Rich Mavoko -Kama Utanipenda 4.Rich Mavoko – Ibaki Story 5.Namjua...

READ MORE

Pendekeza Wimbo Wako Uingie Top 10 ya Maisha Basement Leo

PENDEKEZA WIMBO NA NAMBA UINGIE TOP 10 YA MAISHA BASEMENT JUMAPILI YA LEO. HAPA CHINI NI TOP 10 YA WIKI...

READ MORE

Video: Miss Dar city center Talent ilivyofana Maisha Basement

https://www.youtube.com/watch?v=jV-SsRvSmz8

READ MORE

Tukutane ‘Ibiza Nite’ Maisha Basement, Dar leo

Saturday Ibiza Nite @maishabasement Njoo uenjoy Music mzuri kutoka kwa Djs wakali @deejaygodo @dvjallyb @cdj_skadi kwa kiingilio cha tsh10,000/= Usikose.

READ MORE

Skylight yapagawisha mashabiki Maisha Basement

Waimbaji wa Skylight Band wakipagawisha mashabiki waliojitokeza ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia...

READ MORE

‘Birthday’ ya Nicolaus Trac yafunika Maisha Basement

Meneja Masoko wa  Maisha Basement, Gilla, akimkaribisha Mfanyakazi wa Global, Nicolaus Trac (kushoto) akiwa na Video Queen wa Bongo, Kidoa...

READ MORE