UKIFANYA tathmini ya ndoa nyingi, ni wachache sana ambao watakuambia wanazifurahia. Wengi watakuambia wapo kwenye mateso mazito, wanatamani kutoka. Matatizo...