Mfanyabiashara maarufu nchini, Maleu Mrema amefariki dunia jana akiwa kwenye matibabu nchini Afrika Kusini. Ndugu wa marehemu,Vincent Laswai alithibitisha msiba...