Masha Love: Nioneni Tahira tu, Lakini…
UKIMUONA alivyo na wenge naamini utakuwa unajiuliza maswali mengi mno kichwani. Utajiuliza amekosa nini hadi anajiachia kiasi hicho. Kujichetua kwake kumepitiliza.
Hapa namzungumzia mwanamama Masha Love ambaye ametumia…
