StarTimes Kuonyesha Kombe la FA Uingereza
KAMPUNI ya Star Media kupitia brand yake ya StarTimes, imepata kibali cha kuonyesha michuano ya Kombe la FA (Emirates FA Cup) ikianza na ufunguzi wake kwa mchezo wa Ngao ya Jamii (FA Community Shield) ambapo watakuwa wakirusha matangazo…
