MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imezindua Shindano la Masoko ya Mitaji kwa Wanafunzi wa vyuo Vikuu pamoja na Taasisi za Elimu ya Juu kwa mwaka 2019 ikiwa ni mkakati wa kuwajengea uwezo katika eneo la masoko ya mitaji.…
Mauzo ya Hisa (Turnover/ Liquidity)
Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeongezeka zaidi ya mara mbili
kutoka hisa 745,000 hadi hisa 1,878,000. Mauzo ya hisa yameongezeka pia
kutoka Shilingi Bilioni 6 wiki iliyopita hadi…
MAUZO ya hati fungani katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wiki iliyoishia tarehe Aprili 13, 2017 yamepaa kutoka thamani ya Shilingi Trilioni 20 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.3. ikitokana na kuongezeka kwa bei za hisa…