Jaji: Mama wa Nyumbani Walipwe na Waume Zao
JAJI Mkuu wa Kenya Theresia Matheka wiki iliyopita ametoa hukumu inayosema Wanawake walioolewa na kubaki kuwa Mama wa nyumbani ni kazi kama kazi nyingine (na wala sio ugolikipa) na kusema Wanaume wanastahili kuwalipa mshahara Wake zao…
